chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,352
- 25,874
Huu ugonjwa tumepoteza Ndugu jamaa na marafiki Mungu atusaidie.
😂😂😂😂😂😂😂Nimefanya urafiki wa Tangawizi na Asali. Mpaka Corona iishe nitakua ninamzinga tumboni
Jiwe anakurupuka sana halafu cha kuhuzunisha zaidi hana staha, aibu na adabu.
Utadhan pepo flani
Nimesikiliza vyombo mbali mbali vya habari vya nchi kadhaa kwa kweli tumegeuka kuwa kituko cha dunia kwa namna tunavyo dilli na corona.
Euronews, Aljazeera, VOA, BBC.Ana visa 149
VIFO 0
Waliopona 99.
Mleta mada chanzo cha habari yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nashangaa hapaYamekua hayo tena
Vyombo vya nchi gani?, wenyewe kwao Corona haipo au kwa njia wanazochukua wameshaimaliza na sisi tuwaige?Nimesikiliza vyombo mbali mbali vya habari vya nchi kadhaa kwa kweli tumegeuka kuwa kituko cha dunia kwa namna tunavyo dilli na corona.
Hao ni mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikiliza vyombo mbali mbali vya habari vya nchi kadhaa kwa kweli tumegeuka kuwa kituko cha dunia kwa namna tunavyo dilli na corona.
Nimecheka kinoma mkuu, umeongea kwa uchungu sana. 🤣🤣🤣Jiwe anakurupuka sana halafu cha kuhuzunisha zaidi hana staha, aibu na adabu.
Utadhan pepo flani
Hahahah Al Jazeera watakuwa wametumwa na mabeberu kutupakazia.🤣🤣🤣🤣🤣Aljazeera wanaturipoti kuwa tutatuma Ndege kufwata dawa ya kienyeji, hii ni kashfa.
Sent using Jamii Forums mobile app