Rais wa jf

Rais wa jf

Nimenuna sana baada ya kuona sikupata hata nafasi ya ugambo (mgambo) kukaa mlangoni wakati mawaziri wanaapishwa! Kwa taarifa naelekea Sumbawanga nikamshtakie Bibi! Mh Rais tenga budget ya kutosha ya kuwapeleka Mawaziri wako India, labda bibi nisimkute!
 
usinune nitakurusha,ila una rungu yako ya ugambo?
 
Mheshimiwa me sitaki tamaa naomba uniweke kwenye mfuko wa mahafa niwe nakusanya misaada mbalimbali
 
Nyie marahic mnaogombania atakayeshinda naomba mnipe kazi ya kubeba handbag ya mwanamke wa kwanza itanifaa sn na ninauzoefu wa kutosha jaman!
 
Nyie marahic mnaogombania atakayeshinda naomba mnipe kazi ya kubeba handbag ya mwanamke wa kwanza itanifaa sn na ninauzoefu wa kutosha jaman!

Canta utakuwa umesome wapi iyo kazi? Merry Xmas!:A S-coffee:
 
Excellent upo juu

Na hii kazi ya u-bi-kiroboto naiwezea vibaya sana. Wanywa mbege lakini nitawakaribisha na kuwaambia "tuvumiliane" 😀
 
tena huyu excellent kaharibu sana wabunge
kawajaza vitu visivyoeleweka
utadhani yeye msaidizi wa rahisi

Keshapatikana saa nyingii..Rais rejao, festi ledi Kongosho. sasa tuachie usukani tuanze kupanga tunaowahitaji. Wewe tayari kongosho ameshakuchagulia kazi yako
 
wewe nakupa kazi ya maombi katika misafara yangu yote

na mwaname wa kwanza mmempata

Nyie marahic mnaogombania atakayeshinda naomba mnipe kazi ya kubeba handbag ya mwanamke wa kwanza itanifaa sn na ninauzoefu wa kutosha jaman!
 
Rejea ansard uk 2

huruhusiwi kuomba nafasi yeyote
mwanamke wa kwanza nimekuteua kuwa mtunga maswali hasa kwa waandishi wakorofi

watajibeba na what? Why? How?
Ukibisha utasaidiana na excellent kuwa tester wa uranium kwa kulamba

Excellent upo juu

Na hii kazi ya u-bi-kiroboto naiwezea vibaya sana. Wanywa mbege lakini nitawakaribisha na kuwaambia "tuvumiliane" 😀
 
Ya jenerali mbona cha mtoto? Ngoja niendelee kufikiria adhabu yako cuz hata hapa dunian naona haipo!

Mbalali tu, au kama vipi Mmwakyembe na kum Mwandosya ndo atakoma!
 
Mkuu hata ukatibu mkuu nimekosa kwenye list aise na kwenda kote mlingotini sijapata nafasi aise
 
Lizzy mvivu hajui kitu chochote kuhusu michezo..
embu muondoe kwenye mstari wangu ananichafulia jina..

Muandikie ya kwake " mwandishi bora 2011 ".. usimwingize
kwenye anga zangu ... asante
 
Back
Top Bottom