Rais wa jf

Rais wa jf

Hahahaha, mkwe mahari labda nimkopeshe mhusika. Hawezi lipa baadae kidogo mkishachuma vijicent pamoja?

mkwe acha kumng'ang'ania mutu wa watu mlete fasta kabla kipindi cha sikukuu yakijaisha nimtengenezee biriani
 
mkwe acha kumng'ang'ania mutu wa watu mlete fasta kabla kipindi cha sikukuu yakijaisha nimtengenezee biriani

Hahahaha, basi we andaa hiyo biriani taratibu mkwe.Atakuja rasmi mwakani kwahiyo muandalie kila kitu.
 
Lizy utawakimbizaje? wakikimbia ujue wameshachukua posho tayari na hawana wanachokidai tena.

Ulishasikia wanafunzi wanakimbia shule?Sio kama washapata elimu ya kutosha, bali mambo magumu.
 
Ah mzazi wengine sisi ni walalamishi tu, tukipewa vyeo tunaharibu ridhiko letu ni kuzungukazunguka kama wanyampara na kuangalia mambo hayaharibiki.
mkuu basi tutakupa pikipiku uwe bwana shamba
 
ukiremba wanachukua wengine:focus: hebu nipatie ukurugenzi wa lile shirika linalosimamia vifurahisha macho kwa wale wakuja sijui wanaita mbuga za wanyama
teh teh teh unataka kuiba twiga kwa helicopter
 
Rais hajapatikana bado bhana
Keshapatikana saa nyingii..Rais rejao, festi ledi Kongosho. sasa tuachie usukani tuanze kupanga tunaowahitaji. Wewe tayari kongosho ameshakuchagulia kazi yako
 
Keshapatikana saa nyingii..Rais rejao, festi ledi Kongosho. sasa tuachie usukani tuanze kupanga tunaowahitaji. Wewe tayari kongosho ameshakuchagulia kazi yako
usichakachue bhana,hivi ukiwa prezda first lady atakuwa nani?
 
Back
Top Bottom