Rais wa jf

Rais wa jf

si nitafanya nachoweza jamani
hata waseme wewe ni no.1

basi utanipa mradi wa maji vijijini niuongoze

Kama kawa..hiyo nafasi ni yako, hamna mwingine zaidi yako! But angalia usijefungua genge la kuuza vitumbua ikulu!
 
yaani kuangalia kote umekosa nafasi yakunichomeka mimi swahiba wako nifikirie kumbuka tumesoma wote. Nitarudi baadae kidogo
chagua wizara ambayo haijatajwa
 
mi naona paw bonge la kiongozi kila siku malalamiko kama jk na raia wake..
Ndetichia unafaa sana kuwa waziri wa michezo ya vikongwe. Lakini unaonekana kupenda pesa sana!
 
wee mkali hivyo
angalia unavyopiga kelele kama kocha wa aseno
unamtisha

Huyu hana tofauti na Amwit25, ambaye kazi yake ni kubadili majina na kujipa Likes!

By the way Mleta mada ni creator mzuri wa personalities!...japo ameninyima japo U-Jairo!
 
si nitafanya nachoweza jamani
hata waseme wewe ni no.1

basi utanipa mradi wa maji vijijini niuongoze
Maji vijini utachoka sana! Ile ya madini nafikiri utafaa sana ili usiwe unanipiga mizinga ya kwenda kwa sonara.
 
kwani ni amdomo zege?
Basi hiyo italipa sana

mie mwanamke wa kwanza ntafadhili mtaji
shares zitakuwa 51%wewe na mie 49% ili wewe uwe manager wa kampuni

Mi nitakua nawatafutia mademu waheshimiwa mawaziri!
 
Ndetichia unafaa sana kuwa waziri wa michezo ya vikongwe. Lakini unaonekana kupenda pesa sana!
unadhani nikiedit na hiyo wizara ya michezo agombee na nani?
 
kamwone reajao huruma
huoni shingo yake imejaa kwashakoo?
Akimuacha ndo atakufa maana hana tumaini tena

afu rejao wakija wafadhili hiyo pua itamsaidia bargaining power maana wakigoma anachotaka anawadonoa

wewe una afya

Ingekuwa ni hivyo Rejao asingepata nafasi ya Manager of Gardening services aliyopewa na mleta mada!
 
Ingekuwa ni hivyo Rejao asingepata nafasi ya Manager of Gardening services aliyopewa na mleta mada!
Mkuu umeninukuu vibaya,bado hajapata.
Rejeo akiwa rais JF nalog off mazima/
 
Ingekuwa ni hivyo Rejao asingepata nafasi ya Manager of Gardening services aliyopewa na mleta mada!
Hahahah..pakajimmy, mi rais bana. Ndiyo napanga kabinet yangu. Anza kuchagua mwenyewe wizara kabla sijakupeleka nakotaka mimi
 
ha ha ha
ukiwa rahisi naomba wafuatao wawe maids wangu

mwanakijiji-shoe shiner
RR-designer wa nguo
lizzy-hair style
The finest-viwanja vya kujirusha
gaijin- mtunga maswali hasa napokutana na waandishi
ashadii-risala
king'ast-mshauri wa haramu zote
The Boss- mlinzi wa mwanamke wa kwanza

Maji vijini utachoka sana! Ile ya madini nafikiri utafaa sana ili usiwe unanipiga mizinga ya kwenda kwa sonara.
 
Haaaaaaaa umetishaaaa yani safiiii,Ngoja niusikilize wimbo wa Soggy Doggy Hunters-Nikiwa Rais
 
Back
Top Bottom