Rais wa Ghana John Attah Mills afariki

Rais wa Ghana John Attah Mills afariki

Status
Not open for further replies.

Kishalu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,173
Reaction score
713
Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki ghafla wakati akipata matibabu.
Taarifa kutoka afisi ya rais zinasema kuwa alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali siku ya Jumatatu usiku.
Taarifa zinazohusiana
Afrika
Msaidizi wake pia amethibitisha kufariki kwa kiongozi huyo.

R.I.P John Atta Mills
 
Atakuwa amerogwa tu.
Siku hizi tukiona kiongozi hana msaada kwa wananchi wake tunaroga, anakufa tunachagua mwingine, naye akiboronga tunaroga tena
 
Are u okay gentlemen????!!! Hii mbona ya kitambo sana...since July?!!!
 


[h=2]Viungo vya ufikiaji[/h]


[h=2]bbc.co.uk navigation[/h]
Neno la kutafuta:
blq-search_grey_alpha.png






SWAHILI
Kwenye simu
Habari



[h=1]Rais wa Ghana John Attah Mills afariki[/h]
24 Julai, 2012 - Saa 17:51 GMT







 
Huyu alikufa kitambo hata kikwete alienda kuzika akakagua mashamba ya mananasi pia alizawadiwa kofia kama ya lissu. mia
 
watu wengine bwana,,,JAM kadedi siku nyingi ,habari ndo unaleta leo,nyambaaf kabisa
 
jamani kuna watu wako nyuma, mpaka kero...habari new ghana ni kuanguka kwa ghorofa jana......kha
 
Umetoka lini gerezani jamaa yetu, ulikuwa guantanamo au segerea!??, mbona upo less informed kiasi hcho??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom