Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,210
- 4,712
Huko huko Chato tena?
CHATO on trend againNi taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje kuwa Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja.
Sema anatembelea Chato! Naona na makao makuu ya wizara hiyo yamehamia huko Chato!Ni taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje kuwa Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja.
Unaulizia ndevu kwa Osama?Huko huko chato tena?
Njaa itakumaliza wewe karumekengeHapa panaitwa mtakuja tu,hongera Magufuli
Ndiyo nchi inazidi kuongeza mapatoSema anatembelea Chato! Naona na makao makuu ya wizara hiyo yamehamia huko Chato!
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu Chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndio makao makuu ya shughuli za kiserikali kwa sasa.
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania. Kama mtu roho inauma gombea urais ukipata utaona kama mtu atakukataza kwenda kwenu hasa kama mama yako ni mgonjwa.
Mtihani huu?Ndio makao makuu ya shughuli za kiserikali kwa sasa.
Mara paaaHuko huko Chato tena?
Je ataweza kutuambia kwa nini raia zake wengi wanakamatwa kama wahamiaji haramu tena wana-risk maisha yao kwa kusafirishwa katika njia hatarishi na maisha yao?Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja
Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
Na kusema mitano tenaMabavicha yalichobaki nacho kwa sasa ni kuipigia debe corona tu basi
Yani meko hakuna akili hata moja.Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja
Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi