Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

Ndio makao makuu ya shughuli za kiserikali kwa sasa.
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu Chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kama mtu roho inauma gombea urais ukipata utaona kama mtu atakukataza kwenda kwenu hasa kama mama yako ni mgonjwa.
 
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania. Kama mtu roho inauma gombea urais ukipata utaona kama mtu atakukataza kwenda kwenu hasa kama mama yako ni mgonjwa.

Nasema uongo ndg zanguuuuuuuu?
 
Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja

Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
Je ataweza kutuambia kwa nini raia zake wengi wanakamatwa kama wahamiaji haramu tena wana-risk maisha yao kwa kusafirishwa katika njia hatarishi na maisha yao?
Maisha ya mtu mmoja mmoja yana thamani kuliko siasa chafu za kukandamiza watu na maendeleo yasiyoakisi hali za watu.
 
Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja

Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi


Yani meko hakuna akili hata moja.

Nadhani ana list ya watu wa kuwaalika chato.
Hataki kupoe kabisa.

Atakuja kumualika Elton John bila kujua.

List ikiisha itabidi wamualike jame delicious na kina amber ruty ili mradi chato iandikwe andikwe.

Huyu rais wa ET hana ushawishi na hakuna lolote tz itakalofaidika nalo.
Bure kabisa. Labda atazuia mharamia wanaopitia hapa kwenda SA
 
Back
Top Bottom