Rais wa Dar Kazini.........

Rais wa Dar Kazini.........

bye ila ujue hapa ni addiction you say am leaving and you find yourself coming back. Natafuta dawa ya kuacha JF. Kuna wimbo aliimba Peter Tosh RIP aliimba kuhusu Regea myelitis in my bone aya in my arm aha in my brain iya.

Mhu subiri nitafute mganga mkuu nitarudi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
bye ila ujue hapa ni addiction you say am leaving and you find yourself coming back. Natafuta dawa ya kuacha JF. Kuna wimbo aliimba Peter Tosh RIP aliimba kuhusu Regea myelitis in my bone aya in my arm aha in my brain iya.
kuacha jf!! tutakumiss sana bora uendelee kukosa hiyo dawa
 
huyu jamaa nashukuru ata tv nyumbani ishajua cmtaki akitokezea tu tv inajizima. itawaka akishaondoka
 
Hivi hujui hayo magari yanatumia gas asilia toka Mtwara? Hatuinunui tunachota kujilipa toka kwa muwekezaji. Mengine yanatumia nguvu za jua hatulipi jua halina account ila betry tulipewa na wachina bureeeeee.
Hahhahahahaha
 
Sasa?? We umpigie marehemu mtarajiwa badala ya mpiga push-up unafikiri nini? Marehemu mtarajiwa haitaji mengi sababu siku zake zinahesabika lakini mpiga push up anajua anahitaji mtaji zaidi maana miaka kumi si mchezo na legend kuandikwa. Madawati mtanunua, hakuna shida ya madawa hospitalini, mishahara itaongezwa ila watumishi hewa mtaipata. Mi simo sina kisomo, sina kazi na sidaiwi na mtu.
Si wote marehemu watarajiwa muogope mungu wakati unatoa kauli unaweza ukaisi unafraisha umati kumbe unajichongea kaburi uhai wa mtu anaujua mungu pekee wapo wagonjwa maututi muhimbili pale hawafi ila wazima wanaondoka.Uyo unayemuona kwako ni mzima inawezekana hata miaka mitatu hana mbele.tuache kumkufuru mungu jamani
 
Ndo maana nikaandika hivo sababu wote waliomtabilia marehemu mtarajiwa wote wametangulia, wengine last week.
 
Kwa jinsi nilivyosikia na kuona jana alikuwa na aim nzuri ila bad approach. Alikuwa na ma afisa mipango,watu wa polisi,tanesco,dawasco karibia kila idara ivyo na walikuwa wanatembelea. Kusikiza kero za watu,Mtu akilalamika kuhusu jambo fulani anainuliwa Mtu wa idara husika.
Idea ilikuwa nzuri ila ndo approach mbaya km ivyo.
 
Hii ndio ajabu. Suala la kubana matumizi linaleta aibu. Msafara wote huo ni wa nini? Tija yake ni nini hasa?
tumfate ofisini kwake tumuhoji! huenda tukapata vielelezo!
 
ndo maana nakupendaga😱
Kumbe? Basi nitakugawia mmoja kati ya wawili ila nina mabinti kibao wengine yudomu sijui wengine mihazi wengine matumaini mi sijui wakija wananiambia wanasoma sijuhi wapi wazuri ila wanapenda serious thinking and IQ over 130.
 
duh! hapo kwenye IQ nimeshakosa mke maana IQ yangu ni 0.005!! so sad...
 
duh! hapo kwenye IQ nimeshakosa mke maana IQ yangu ni 0.005!! so sad...
Hollaaaa. Niliyempanga kasema anahitaji mtu wakumsaidia kwenye research yake kuhusu ubongo wa watu wanaoingia kwenye siasa bila kufanya kazi kwenye jumuia. (namaanisha Obama amefanya kazi na watu wa kwenye mitaa akaona shida akalala njaa mwenyewe, akakosa kodi ya chumba ndo akawa motivated kuwa mwanasiasa)
 
duh! bibi unamaneno na wewe..!!
huyo uliempanga nimempenda ghafla!!
ana maono fulani hivi amaizing namuunga mkono😀
 
Back
Top Bottom