Tunaita kisabengo ichoanahusika mpaka kisarawe? huko si ni pwani ama?
fafanua kwenye red mkuuTunaita kisabengo icho
KimuhemuheTunaita kisabengo icho
Hivi hujui hayo magari yanatumia gas asilia toka Mtwara? Hatuinunui tunachota kujilipa toka kwa muwekezaji. Mengine yanatumia nguvu za jua hatulipi jua halina account ila betry tulipewa na wachina bureeeeee.Why a lot of cars wkt kuna kubana matumizi..?
Duh! sasa huko ku chota tu si bora wangechota wakasaidia wahanga we unaonaje..?Hivi hujui hayo magari yanatumia gas asilia toka Mtwara? Hatuinunui tunachota kujilipa toka kwa muwekezaji. Mengine yanatumia nguvu za jua hatulipi jua halina account ila betry tulipewa na wachina bureeeeee.
Matap tap alisema hivi, majanga hayakuletwa na sirikali wajiju. Alisema anatumikia maskini sasa hajawaona pale wanapita Magogoni maana rais wa dar aliwaambia warudi kwao hivyo mashetani ndo yapo mjini. We vipi?Duh! sasa huko ku chota tu si bora wangechota wakasaidia wahanga we unaonaje..?
he..!! sasa hii si hatari kama majanga ambayo hayakuletwa na sirikali watu wajihudumie wenyewe mbona ya sirikali yenyewe ni mengi kushinda ya asili na utatuzi hatuoni..? au ndo kupatwa kwa wapiga kura!Matap tap alisema hivi, majanga hayakuletwa na sirikali wajiju. Alisema anatumikia maskini sasa hajawaona pale wanapita Magogoni maana rais wa dar aliwaambia warudi kwao hivyo mashetani ndo yapo mjini. We vipi?
Halafu vipuri tunatengeneza wenyeweHivi hujui hayo magari yanatumia gas asilia toka Mtwara? Hatuinunui tunachota kujilipa toka kwa muwekezaji. Mengine yanatumia nguvu za jua hatulipi jua halina account ila betry tulipewa na wachina bureeeeee.
Sasa?? We umpigie marehemu mtarajiwa badala ya mpiga push-up unafikiri nini? Marehemu mtarajiwa haitaji mengi sababu siku zake zinahesabika lakini mpiga push up anajua anahitaji mtaji zaidi maana miaka kumi si mchezo na legend kuandikwa. Madawati mtanunua, hakuna shida ya madawa hospitalini, mishahara itaongezwa ila watumishi hewa mtaipata. Mi simo sina kisomo, sina kazi na sidaiwi na mtu.he..!! sasa hii si hatari kama majanga ambayo hayakuletwa na sirikali watu wajihudumie wenyewe mbona ya sirikali yenyewe ni mengi kushinda ya asili na utatuzi hatuoni..? au ndo kupatwa kwa wapiga kura!
Kwa haraka kuna msafara wa magari yasiyopungua 20![]()
Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ukiwa eneo la Kisarawe
usiseme hudaiwi wkt tuna lile deni naskia sasa limefika tillion 50 hivi!Sasa?? We umpigie marehemu mtarajiwa badala ya mpiga push-up unafikiri nini? Marehemu mtarajiwa haitaji mengi sababu siku zake zinahesabika lakini mpiga push up anajua anahitaji mtaji zaidi maana miaka kumi si mchezo na legend kuandikwa. Madawati mtanunua, hakuna shida ya madawa hospitalini, mishahara itaongezwa ila watumishi hewa mtaipata. Mi simo sina kisomo, sina kazi na sidaiwi na mtu.