Rais wa chit-chat

Hehehehe! Yangu macho hapa, ushaanza kujiombea utafutwe khaaa!
 

Mkuu Mungi angalia sana lile jukwaa aise unaweza kujikuta unalipuliwa na kitu cha moto kilichorushwa na wafuasi wa chama chako mwenyewe
Au wakakumabwepande bila kujua ukajikuta meno na kucha zinaondolewa bila ganzi na sura yako ikaharibiwa na tindikali
mkuu Mungi hiyo mbaya sana aise unakaa karibu na kijiji changu hata salam aise
Kuna vicastle lite vimekosa wanywaji aise karibu sana
hebu tembelea Pale Mtandaoni uniambie deal aise

usiwe na hofu kijana bunge hili lako mie nimelingua tu, si waona nimesuka mtindo mpya? Haya ni maandaliz ya trip ya nyuyoku, ila usiwe unawatolea kashfa kina mdee sawa mkuu?
Ciello andaa safari na nitakyuwa nahakikisha kila bunge klikianza nakutafutia trip ya kukaa huko miezi mitatu tena for medical check up kumbe wala raha mara nyuyok mara washington mara wapi sijui kwingine

Rocky mie sina makuu, hebu nipigie chapuo nibebe ule mrungu wa mjengoni mwa chit chat
kalukamise hapo usiwe na wasi wasi aise
Ila toa rushwa sasa takukuru wamelala hawaamki muda huu
Sema mambo yako
 
Last edited by a moderator:

Afu mwenyekiti una loho mbaya sana, jina langu sirioni kwenye barrot yako ya kula ya ulaisi.
 

Mkuu we ni PM mtandaoni ntafika.............si unajua akina sweetlady wananisingizia eti nimeachwa na mke ndo maana tunakesha baa na Arushaone..........
 
Last edited by a moderator:
Agreed...kwenye mfuko wa Rambo na location ???
 
Afu mwenyekiti una loho mbaya sana, jina langu sirioni kwenye barrot yako ya kula ya ulaisi.
Mkuu Mphamvu nitamshauri Rais atakaepita ili uwe naibu waziri wa Unguja na Zimbambwe mwaka 11964 (naibu Waziri Elimu)
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu tatizo ni uraia wako mkuu,
inaonyesha kana kwamba umetoka nchi moja na Mwalimu (R.I.P.)

Afu mwenyekiti una loho mbaya sana, jina langu sirioni kwenye barrot yako ya kula ya ulaisi.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshtukia Ciello hana uraia wa nchi ya chitchat............ ameshtuka akiwa supika wananchi wa nchi ya Bongonyoo watamsanua

mkuu mbona wataka kuharibu tena au kina lion washakuhonga vitz nn? Usifanye hvo bana mie nakupa liyutongi limoja liwe lako sawa? Sasa piga kazi...
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona wataka kuharibu tena au kina lion washakuhonga vitz nn? Usifanye hvo bana mie nakupa liyutongi limoja liwe lako sawa? Sasa piga kazi...

Hahaaaa kwa hili la hu jintao bado nitakusanua hebu fanya fanya mambo fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…