Unahisi akikanyaga ndio ukoo wako utaondokana na umasikini?Toka 2015 hajawahi kukanyaga Rais toka Ulaya na Marekani why?
Ungesoma kichwa cha habari halisi alichoandika mleta mada na sio hiki kilicho haririwa na wahariri ungenielewa.Soma tu hata kichwa cha habari mkuu, hi dunia sio lazima uwajue viongozi wa mataifa yote, ndio maana kuna kujifunza.
Tetetete, entertain umaskini mpuuzi weweUnahisi akikanyaga ndio ukoo wako utaondokana na umasikini?...
Hivi ni kweli huo mji mkuu wa Botswana Gaborone unatamkika Gabohone. Yani na sisi waafrika kwa Swagger tunawaiga mabeberu kwa mabeberu ufaransa na ujerumani W ni Z mfano Wenger Venger, Former Yugoslavia c ni ch mfano papic inatamkwa papich. Scandinavian ni Y mfano Jana Yana). Sweden A ni O mfano Adam Odom.Sam ah an I badala ya kuandika Botswana nikaandika Gaborone zilikuwa ndoto na mchana
Nilipitiwa na ndoto za mchana badala ya kuandika Botswana nikaandika Gaborone nakujua vizuri nilishafika hadi kunakoitwa Kanye kuna hospital I inaitwa Kanye hospital,'being run by Adventist church'(inahudumiwa na kanisa la wasabato) 'Kanye is a located in southern part of Botswana'Hivi ni kweli huo mji mkuu wa Botswana Gaborone unatamkika Gabohone. Yani na sisi waafrika kwa Swagger tunawaiga mabeberu kwa mabeberu ufaransa na ujerumani W ni Z mfano Wenger Venger, Former Yugoslavia c ni ch mfano papic inatamkwa papich. Scandinavian ni Y mfano Jana Yana). Sweden A ni O m
Botswana siyo nchi maskini. Per capita income yake inaizidi China kea mbali. Hii ni nchi yenye uchumi mzuri kuyazidi mataifa mengi ya Asia, America Kusini na baarhi machache ya Ulaya.Ukiwa maskini alafu rafiki zako nao ni maskini, ni ngumu sn kutoboa
Kama ilivyokuwa kwa dikteta magufuliUkiwa maskini alafu rafiki zako nao ni maskini, ni ngumu sn kutoboa
Hii sasa ndiyo Tanzania aliyoiasisi J K Nyerere ambayo ilikuwa ndiyo kinara wa diplomasia katika Africa. Mwendazake akichafua sana taswira ya nchi yetu. Kwa sasa wageni wanapishanaRais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi anatarajia kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, kuanzia kesho Juni 10, 2021 kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan...
YapKama ilivyokuwa kwa dikteta magufuli
Tofautisha pato la taifa na nchi tajiri, hii hata dikteta alikuwa nayo sn sijui uchumi wa kati wapi kumbe hakuna kituBotswana siyo nchi maskini. Per capita income yake inaizidi China kea mbali. Hii ni nchi yenye uchumi mzuri kuyazidi mataifa mengi ya Asia, America Kusini na baarhi machache ya Ulaya...
Botswana siyo masikini mkuu. Wako vizuri sana
Unahisi akikanyaga ndio ukoo wako utaondokana na umasikini?
Hivi hii tabia ya wanachadema kuhisi kwamba maendeleo yenu yataletwa na wazungu inakuwaje yani?
Wao walitembelewa na nani mpaka wakawa hapo walipo?