Rais wa Argentina mama Christina Ferdinadi alipoulizwa anajisikiaje nchi yake kushndwa kuchukua kombe la dunia alijibu YEYE SIYO MSHABIKI WA MPIRA,akaulizwa kuhusu MESI kuchukua mchezaji bora wadunia alijibu HAKUNA MECHI ALIYOWAHI KUANGALIA HATA HYO FAINALI YA ARGENTINA NA GERMANY SIJAANGALIA KWAHYO SIJUI LOLOTE.awali rais hyo alialikwa yy pamoja na BI ANGEL MIKEL CHANCELOR wa ujerumani walialikwa na rais wa BRAZIL kuhudhuria fainali,alimjibu HAWEZI KUJA KUANGALIA FAINALI SBB ANAUMWA KOO.BI ANGEL MIKEL alihudhuria fainali hyo na nchi kuibuka na ushndi.je km argentina wangechukua kikombe angenda kuwapokea uwanjani?inawakuwaje rais wa nchi yenye washabiki wengi wa mpira km argentina afu rais anawavunja moyo watu wake?