Alama tatu za nyakati:
1. Umepimwa na kuonekana umepungua (hivyo hufai)
2. Ufalme wako umegawanywa na kupewa upinzani (kwani wao ndio wenye uwezo wa kuongoza kwa sasa)
3. Siku zako zinahesabika (kama siku 1185 hivi) ndio zimebaki ukihesabu kuanzia leo.
Hivi Maghembe anazijua hizi?
Ok awe anazifahamu, ana ubavu wa kuipenya (NEC) ngome ya mafisadi wenzake ambao walishatamka kuwa rais ajaye hawezi toka kaskazini?
Mnataka afe kabla ya wakati wake?...kuhama wizara moja hadi nyingine si uzoefu, bali ni poor perfomance, sasa kwa kuwa "analindwa" ndio maana inaonekana anachapa kazi.......sishabikii siasa ila nina mtazamo tofauti kuhusu baadhi ya viongozi wetu.
Anyway Musharaf alisema mimi ni kilaza na mpuuzi, ati kwa kuwa nilisema hata brother Ben Membe haiwezi hii nchi.haya mkosoe na huyu mdau mwingine....NI MTAZAMO TU.