Rais wa 2015, Maghembe anafaa

Rais wa 2015, Maghembe anafaa

Huyu Polisi wa hapa kwetu nani kakupa picha yake, mara ya mwisho alihamishiwa Kempton Park, kwenye kituo ambacho hakina rushwa ili apungue, kwenye kale kamtaa ambako kanaitwa "Jerusalema" kutokana na uhalifu mwingi eneo hilo.
 
ohoooo.....kwenye taaluma yake amefanya nini??????


Mkuu Bajabiri huko usiulize tena maana utaletewa madudu matupu
Naona jamaa kamuona kwenye mradi wa maji jana anaona kweli huyu anafaa urais
Wizara tano kwa miaka mitatu tuu na hakuna ufanisi wowote wa maana unaonekana
 
Last edited by a moderator:
Mpigie katika namba hii +255 75 399 9944 au +255 78 603 4888, msingi wa kutoa namba zake:

Yeye ni Waziri wa wananchi na tukimuhitaji lazima apatikane, tukimuuliza atujibu, kama hataki pia poa tu. Halafu nikimpigia simu huwa hapokei.

YAANI HUYO JAMAA YAKO HAFAI, NIMEMPIGIA KANIJIBU VIBAYA HATA NIMEJUTA KWANINI NIMEMCALL HAFAI KABISA, LAKINI NGOJA CCM WAMSIMAMISHE ILI CHADEMA TUCHUKUE IKULU KIULAINI PIa KWA KISHINDO,
 
kipimo chake kikubwa na kuwasaidia wananchi waache kunywa maji pamoja na wanyama, hasa vijijini, wizara hii aliyonayo sasa ni kipimo tosha kama naqualify au la...! ingawa bado hajafikia viwango vya kuwa president wa nchi yenye wapinzani wenye fikra pevu kama CDM...
 
Si nilisema!! mimi huwa nikimpigia hapokei, kuna siku nilimuuliza swali kuhusu maendeleo ya utalii, kwamba alipokuwa waziri wa mali asili na utalii, aliwafanyia nini watanzania, na pia sera yake ya utalii wa ndani aliiboresha vipi....nikampa aliyekuwa waziri wa usalama/polisi wa hapa (Charles Nqakula),contacts zake, alipopigiwa hakutaka hata kutambuliwa kwanza.........akabwatuka "ulikuwa unasemaje?"

Ngakula aliniuliza "Is he a minister?, Is he a Proffesor?...nilipatwa na aibu sitasahau, alafu ndio nimpigie kura yangu? Hata baadae Mhe.Ngakula alipozuru Tanzania alipokelewa na Dr. Asha-Rose Migiro (Waziri wa Mambo ya Nje Wakati huo kabla ya kumwachia Ben K. Membe)..baadaye ndio "huyu mheshimiwa akajitokeza eti kumpokea mgeni"

Kwenye simu ameku-befriend ukamkataa, amepita kuona mbuga zetu kabla ya kwenda kuwapatanisha warundi na wanyarwanda......hapo ndio unajipendekeza!!!
 
Umetumwa upime upepo?Yaan kwa mikutano ya Jangwani,Rukwa na Kigoma ameshafuvu kuwa Mgombea wenu?Membe mweke huyu naye kwenye ile list yako plz!:nerd:
 
Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila mara nyingine bigup
mdomo kazi yake ni kula na kuongea,
si vibaya na wewe umeutumia kwa kazi hiyo ya pili,

unaonaje akiwa rais wa mke wako?
 
Labda Tanzania nyingine sio hii niijuae mimi wapare watahamia wote ikulu
 
Kweli safari hii JF imeingiliwa yaani kila mtu anaweza kuwa rais, haya bana , hata Kingwendu anafaa kuwa rais, kwani na yeye ni msanii kama tuliyenaye sasa.Yaani nayakumbuka maneno ya mzee Ruksa kuwa Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu.
 
hana lolote huyo, amalize kipindi chake arudi usangi akalime viazi mana hata ubunge pale mwanga hatakiwi tena!
 
Ahaaaaaaaaa! I could not imagine if some people are thinking mr. Magembe to run for 2015 General election for presidential post, we upo tz kweli, uliza hata kwa wa2 basi wakwambia katufanyia nini hasa cha maana kwenye wizara alizo pita, kumbuka madudu ya W. ya elimu na migomo ya vyuo vikuu kama Udsm a very poor leader who does not deserve even for a single credit, is there because of ccm not for his competence!
 
Ahaaaaaaaaa! I could not imagine if some people are thinking mr. Magembe to run for 2015 General election for presidential post, we upo tz kweli, uliza hata kwa wa2 basi wakwambia katufanyia nini hasa cha maana kwenye wizara alizo pita, kumbuka madudu ya W. ya elimu na migomo ya vyuo vikuu kama Udsm a very poor leader who does not deserve even for a single credit, is there because of ccm not for his competence!
 
naona vijana siasa imewashinda wanaanza kubuni tu nani rais mwisho wa siku pia watasema Wassira awe raisi du kaaaazi kweli kweli
 
Sitaki hata kusikia jina lake,ana roho mbaya huyo hata mshika funguo wa jehanam ana afadhali

usitutie kichefuchefu bro!!!!!!
 
Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila mara nyingine bigup

Mlishaambiwa na RIZ1 kuwa Rais hawezi kutoka Kaskazini Mwa Tanzania... Kwanini Mna Waza hayo?

Toa fikra hizo Prince has more power than your thought friend...
 
hahahaaaaaaa.....
Kwa hili hata mimi nafaa hakyanani.
 
Hivi aliponaje kun'golewa na ule upepo uliondoka na wenzake? Huyu hapa kwetu wazee wakiomgozwa na c.d.msuya wamepania kumngoa
 
Back
Top Bottom