Rais Trump ajibu Lissu kiakili

Welcome to Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers!

Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and experiences to others, while making a difference in improving people's lives!

Join Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! today and learn how to revolutionize your mind to effect a lasting change.
 
Rubish as you ever been! Kwanza tulia na andika jambo la kufikirisha na lenye tija na kisha edit uchafu wako! Neno amazing kwako lina maana ya kupuuza? Utahangaika mno safari hii ila kaa ukijua kuwa huwezi na hutoweza kumwaminisha yeyote jambo lolote utakalolianzisha humu kwani wewe siyo! Kawahi book seven bro!
Tatizo la hawa wa Lumumba wanadhani kila siku ni ijumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Unaona sasa, umewaudhi, kwao ni raisi mtarajiwa, kwa Trump hajulikani, na tweet ya DT imedhihirisha, kale kabinti kako famous zaidi pamoja na kwamba hata ramani ya USA hakaijuwi! Hahaha:D:D:D..
Lazima iwaume..
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa

Kichaa kama baba yako, trump alisema amazing kwa yule bint anaepiga mpira danadana huko malawi na wala hajui kama ni mtanzania zaidi ya kuona sura kama chipanzee akashangaa,wewe unaleta uharo wako wa kula mizoga kama fisi humu.
 
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.

Kamwe hawezi kujutia kuieleza dunia jinsi jiwe na makahaba wenzake walivyotaka kuutoa uhai wake.atajuta iwapo angekaa kimya maana mission ingekuwa accomplished.OVER
 
Hivi kumbe kuna watu wanaishi bila kuwa na kichwa? Ndio najua leo.
 
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.
Mzee, mbona povu jingi? Umeona ya Lissu kujibu aliyoulizwa kuhusu kilichompata. Kilichompata hujakiona siyo? Yangekupata wewe kama yaliyompata Lissu, ukaulizwa; ungekaa kimya siyo? Tuache ujinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Uwezo wako wa kupambanua mambo ni wa level ya chini..chini sana...
Bata ana afadhali..
Duu.
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Trump alipo comment "Amazing" kwenye ile video hakuna aliejua kuwa yule Dada alikuwa anatokea Tanzania..

Baada ya Trump ku comment ndio watu wakaanza kumfatilia yule Mama,hapo ndio ilipojulikana kuwa yule dada ni Mtanzania ana miaka 25,ana mtoto mmoja,kazi yake ni kuzunguka nchi za Afrika akipiga danadana(juggling),ameshawahi kufika Gabon,Ethiopia,South Africa,Malawi kwa kufanya kazi hiyo..

Trump pengine hamjui wala hajawahi kumsikia huyo Lissu,By the way, kama Tanzania kuna vipaji mbona serikali haivitunzi vipaji vilivyoko Tanzania?Serikali ya Tanzania inamuacha huyu dada akizunguka nchi za Afrika kutafuta kijio..
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Mbn unaumbea mwingi ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Hukumu ya juu kabisa duniani atoayo "jaji" ni kifo..
madaktari nao hutibu wagonjwa lakini kuponya ni kazi yake Mungu .
Mungu ndiye mwamuzi na mamlaka yake haihojiwi kwani Yeye ni Alfa na Onega.
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Karambe buku Saba lumumba we sio usalama ni kada mvimba tumbo! 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom