Rais Trump ajibu Lissu kiakili

Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Unamchukia sana Lisu mpaka unatamani ajinyonge kwa kitanzi chake mwenyewe. Ungekuwa mwerevu kama unvyojidanganya basi ungeshafanya toba ili ukae na amani, unahangaika na kuweweseka sana na huyu mwanasisa. Huna hofu ya Mungu jamani?
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Usikute ndiye mkuu wenyewe wa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga ni wewe unayemtamani Tundu Lissu akuoe wakati ana mke, Kama Lissu ni useless mbona hamlali?
Halafu ushamba wako utoe humu usidhani kila mtu ni mjinga Kama wewe.
Unadhani kila jambo Trump ana tweet? unajua jinsi CIA inavyofanya kazi wewe?
Sasa ukitaka tweet za Trump ziisambaratishe CCM, ngoja Tundu Lissu aje kisha mmuue Kama mlivyopanga hapo ndo uta zifurahia tweet, Pathetic Jinga kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
mkuu umefilisika kimawazo, umekaa ukaona uandike kile kinachozunguka kichwani mwako ukaleta huku?? Utalufa kwa pressure acaha na TL
 
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.
Watu wamtumie Lissu kuivuruga Tanzania ili wapate nini hapa? Watu mmekaririshwa ujinga
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
Hasa jinga wewe wakujitakia
 
Hakuna serikali duniani ambayo haijawahi kuchafuliwa, hata hapa Tanzania tawala Zote ambazo zilipita pia zilichafuliwa so hakuna jambo la ajabu

Kwa tukio la Lisu na kwa Hali ilivyokuwa ww kama mtu mzima na akili Zako ulitegemea Lisu akae kimya tu? Asiseme lolote? Kile anachosema ni mawazo yake binafsi ni kama ww ulivyoandika hapa ni wazo lako binafsi Sasa shida ni nn?
 
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.

Hivi Marekani wanaweza kumtumia Lisu kuidhuru Tanzania? How kwa kitu gani?
Wakiamua si wanatuwekea vikwazo tu basi tunaanza kutafutana sijui uelewa wako wa Mambo ya international politics ukoje, but hakuna inchi Tajiri duniani yenye Kuweza kumtumia Lisu kuidhuru Tanzania
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa

Ninaamini kifo chako kitakuwa cha ajabu maana MUNGU ni wetu sote,auaye kwa upanga atakufa kwa upanga
 
Back
Top Bottom