Rais Trump ajibu Lissu kiakili

Ni tafsiri sahihi ya comment chanya trump kuhusu tanzania. Usisahau huyo domokaya waliźusha eti trump kamsifie eti ana akili angefaa kua raia wa amerika kumbe uongo...eti angealikwa white house white house kabakia kuiona kwenye picha.
 
Rubbish post that can only be posted by a guy from Tanzania. Very silly and utter nonsense.
 
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.
Umeongea ukweli mtupu.
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ILA nimwerevu Tu anaweza kuwa.
Lisu amekaa marekani nakuchafuwa taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wamarekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na cia wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakan mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.
Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.
Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....
Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa
1550772883440.png
 
'Upumbavu Ni Kipaji Kuna Watu Wanazaliwa Nacho"..Mwalimu Nyerere..
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ILA nimwerevu Tu anaweza kuwa.
Lisu amekaa marekani nakuchafuwa taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wamarekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na cia wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakan mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.
Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.
Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....
Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nyie mtaishi milele killing haijawahi silence watu kumbuka hamna kinga mtazama sasa mngekuwa na ufahamu mngeutafakari ujumbe wa chid Benz jela ndio makazi yenu mbuyu ukianguka.Mtaelewa mkiwa mmechelewa kinga hamna kipi mringiacho?
 
Dah kuwa mwana ccm wa aina ya mleta mada kunahitaji sijui nini haki ya Mungu maana tukisema roho ya jiwe bado jiwe linapasuka au roho ya chuma ,bado chuma kinaliwa na kutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom