Rais Trump ajibu Lissu kiakili

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,610
2,000
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila ni mwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani na kuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wanamshanga maana wanaijua Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa.
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,589
2,000
Rubish as you ever been! Kwanza tulia na andika jambo la kufikirisha na lenye tija na kisha edit uchafu wako! Neno amazing kwako lina maana ya kupuuza? Utahangaika mno safari hii ila kaa ukijua kuwa huwezi na hutoweza kumwaminisha yeyote jambo lolote utakalolianzisha humu kwani wewe siyo! Kawahi book seven bro!
 

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
4,925
2,000
Ile video ya yule mama inampa credit yeye tu, ila inatuweka wengine pabaya. Comment iliyopo pale ambayo Trump amereact "amazing" inakashfa kubwa kwetu. Kwamba tunavyovipaji/watu wenye vipaji wapo lakini hakuna FURSA. Ule ujumbe uliopo pale unamaanisha kuwa vipaji vimesambazwa kwa usawa lakini siyo fursa.

Tufikiri Mara mbili kama siyo Mara Tatu. Tunazodolewa!
 

malichi

Member
Nov 7, 2018
79
125
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.
 

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,581
2,000
Hii kwa nini inahusiana na LIssu na siyo serikali iliyopo madarakani? Kwa nini tusishangae Trump kuandika "amazing" kwenye picha ya huyo mama badala ya picha ya "uzinduzi" wa SGR uliofanywa na Makonda?

Hivi Trump hakumuona Mkurugenzi wa Barricks akiwa Ikulu, haoni kama hayo ni mambo ya maana sana ya kuandika "amazing"?

Lakini jee huyu mama anavyocheza mpira hivi si suala la kufurahisha. Kwa ivo Trump amemfurahia kwa kujua anatoka Tanzania ama amemfurahia kwa kipaji chake?

 

gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,500
2,000
Lissu hajawahi kuchafua taifa, bali ni mzalendo haswa na taifa lake

Lissu anaelezea alivyopigwa risasi na serikali ya chama cha mapinduzi kukataa kufanya uchunguzi wa shambulio lake

Serikali ya Tanzania ni chafu toka awali ndio maana ikawa mshukiwa wa shambulio la mh Lissu

Serikali ilianza kuchafuka yenyewe pale ilipofanya haya dhidi ya mh Lissu;

1. Kukataa kufanya uchunguzi juu ya shambulio la mh Lissu.

2. Kupiga marufuku kuombewa mh Lissu.

3. Kupigwa marufuku wale wote wanaovaa fulani za kumuombea mh Lissu.

4. Kung'o kamera za eneo la tukio baada ya shambulio.

5. Kukataa kumlipia gharama za matibabu yake.
 

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,616
2,000
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.
mfano wewe ndo ungekuwa Lissu ungefanyaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom