Rais Trump ajibu Lissu kiakili

Rais Trump ajibu Lissu kiakili

Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa

Mfuga mamba huchoki tu! Mungu ameshawakatalia lakini bado hamuachi kutamani damu za watu!
 
Mada moja inawatu watatu Trump ,Lissu ,Mama wa mpakani...lakini bado umeshindwa kuwaonesha watu uhalisia wa vitu vyote kwq hao watu watatu
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa

Muda huu unaomdiss Lissu walau ungetafuta mwalimu wa kiswahili akakufundisha walau ujue hata kuandika!
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila nimwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani nakuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wana mshanga maana wanaijuwa Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.....

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa ukirudi ukumbuke na kitanzi kabisa

Mazuri kweli tutalisemea taifa popote pale lakini je mabaya tumuachie nani au tujifanye vipofu, viziwi na mbumbumbu kama wewe kwamba mabaya hayapo, na kama yapo na kweli tunajua yapo je tuyaache yaendelee tu?!
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila ni mwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani na kuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wanamshanga maana wanaijua Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa.
Hebu tuambie mambo mawili aliyosema Lissu ambayo yanachafua "Taifa"?
 
Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo atayaona yapo sawa lakini baadae yatamrudia mwenyewe.
Ndo aliki yako imefika mwisho wa kufikiria?,Ukiwa na akili timamu na hujalewa pombe wajazwa matapishi kuwa T.AL anatumiwa bila Aibu nawe wameza tu bila kuchenjua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila ni mwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani na kuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wanamshanga maana wanaijua Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa.
nani mjinga hapo?
 
Korosho yangu inaniuma sana.........yaani umekaa nayo muda wote huo leo unanirudishia......
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila ni mwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani na kuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wanamshanga maana wanaijua Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa.
Kwa hiyo wewe unavyofikiria kila mtu anayeingia Marekani kibinafsi Trump anaambiwa na watu wake? Marekani siyo Bongo kuna miswaada mengine inapitishwa kwenye majimbo wala Trump hana habari. Halafu wazungu wapo straight kama umeongea urembo stasema, siyo watu wa majimbo kama sisi. Ukimtukana kimafumbo hawezi kutuchukulia hatua maana hana you muda wa kuelewa.usimfananishe na jiwe ambaye ana dili na mipasho na mafumbo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kuna mambo ambayo mtu mjinga sio rahisi kuelewa ila ni mwerevu tu anaweza kuwa.
Lissu amekaa Marekani na kuchafua taswira ya Taifa kwa kipindi chote ila Rais wa Marekani hakuwahi hata tweet nakusema pole maana anona picha zake na CIA wanamwambia kuna mtu hapo nyumbani.

Ila ametafuta picha ya mama ambaye yupo huko mpakani mwa Tanzania na ku comment Amazing na ma milion ya watu wakafurahi naku like.

Hii inathibitisha kuwa TZ kuna vipaji na badala yakujipaka matope tutafute kujenga taifa nakusemea mazuri taifa.

Kiukweli najuwa jamaa anajisikia vibaya sana maana hata mabeberu wanamshanga maana wanaijua Tz na ndio maana Trump amemtumia msg Amazing.

Wajinga ndi waliwao sisi tunasenga mbele zidi kuchafuwa taifa.

Inaonyesha huna unachokifaham.

Inaonyesha hata misimamo ya Lissu juu ya Trump huitambui.

Elimu ndogo juu ya kitu fulani ni "ushamba".
 
Back
Top Bottom