View attachment 3391090
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.