Mkuu wetu anasema kama hulipi VAT hatukutaki, kwani zamani walikua hawalipi? speech kama hiyo inatuma red alert kwa tourists wote kua hatuwajali kabisa, its disrespectful, binadamu tunapenda kuinterpret mambo tunavyojisikia, na in most cases siku hizi wako critical zaidi ukizingatia dunia ina idadi ya wasiojielewa kubwa kuliko wanaojielewa, ndio maana hua tunasema waandaliwe speech sio kuropoka.
Tunajidai tuna kila kitu huku hatuna chochote, ngoja tuendelee kufukuza tukidhani watakuja kutupigia magoti, mtu ambaye hajatembea hawezi jua kua ni cheaper kwenda kutembelea nchi kama US kuliko Tanzania (hii ni fact) tourism locations za Tz ni very expensive na tunajitahidi kuzifanya even more expensive. Kukusanya hela kwenye utalii tusingeconcentrate kwenye kuongeza VAT, concentration yetu ingekua kwenye kuleta more people, kubuild experiences ambazo zitavutia watu kuja Tz kua na wanyama peke yake is nothing kama we are not innovative, we have to transform hizi tourist destinations into paradise sio kuzifunga au kupunguza employees kucover costs. "Father is always right"