Kuna kitu kidogo sana ambacho hamuelewi na hili siyo kosa lenu bali ni uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kutatua matatizo,
idadi ya watalii ≠ Mapato ya fedha za utalii
Hivyo kama ungekuwa na akili ungeweka hapa pia na mapato ya nchi yanayotokana na Utalii,
yaani Utalii unachangia asilimia (%) kwenye pato (GDP) la nchi husika? Na siyo unakuja tu na namba tu zilizo uchi, inawezekana kabisa nchi kama Austria au Uswisi ambazo hazimo hata kwenye orodha yako
mchango wa utalii kwenye GDP yao ni mkubwa klk hata Ufaransa au USA!