Rais, Tanzania si chochote katika utalii

Waziri aliyeko madarakani alisema hawataki watalii masikini, sasa hii ndiyo kauli ya kuendesha?
Ni kweli watalii wanaokuja kwetu ni wale maskini wasiyoweza kuhimili bei za ulaya marekani na Asia. Utakuta eti mtalii analala hoteli za sinza? Au guest house arusha huyo utamwita mtalii au mtembezi au Tatoa wanadai hoo watalii wamecancel safari kwa ajili ya Vat hao viongozi wa Tatoa nao vichwa maji tu
 
Una mawazo mazuri lakini sijaona pale unapoleta suluhisho nini kifanyike bali umelalamika tu kama ilivyokawaida ya watanzania wengi ni hodari kwa kulalamika lkn wavivu kutoa suluhisho
Unapewa mtihani "feki" na unataka kupewa na majibu pia.

Kazi ya uchunguzi ya polisi anapewa mlalamikaji.

Haya yanatokea Tanzania tu.

Bongolala.
 
Watanzania ni watu wenye bahati mbaya sana maana mara nyingi wanaaminishwa kuwa wao ni bora katika kila kitu. Wengi wao, kwa ujinga tu, nao wameyabeba maneno hayo na kuyaweka katika vichwa vyao.

1.Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina dhahabu nyingi kuliko nchi yoyote Duniani, ambao ni uwongo, lakini wao wanaamini

2. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa tuna gas nyingi kuliko nchi yoyote, ambao ni uwongo

3. Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina madini ya kila namna na ina madini mengi kuliko nchi yoyote Duniani/Afrika, ambao ni uwongo

4. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye amani kuliko nchi zote za Afrika, ambao ni uwongo

5. Wapo Watanzania wanoamini kuwa nchi yetu ina demokrasia, utawala wa sheria na uongozi mzuri kuliko nchi yoyote ya kiafrika, nao ni uwongo lakini wanaamini

6. Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ni nchi nzuri sana ambayo kila mwanadamu angependa kuja na kuishi, nao ni uwongo lakini wengi wanaamini hivyo

7. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi na mazingira mazuri ya utalii ambayo hayapo mahali pengine popote Duniani, ambao ni uwongo mkubwa.

Takwimu za mwaka 2014 kuhusu utalii wa kimataifa (International tourist arrivals) inaonesha kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi 10 za juu katika kutembelewa na watalii. Hii inaonesha kuwa watalii hawa wa kizungu wanapendelea zaidi kwenda kwenye mabara mengine kuliko Afrika.

In 2014, there were 1.133 billion international tourist arrivals worldwide, with a growth of 4.3% as compared to 1.087 billion in 2013.[1] The top 10 international tourism destinations in 2014 were

1. France Europe 83.7 million
2. United States North America 74.8 million
3. Spain Europe 65.0 million
4. China Asia 55.6 million
5. Italy Europe 48.6 million
6. Turkey Europe 39.8 million
7. Germany Europe 33.0 million
8. United Kingdom Europe 32.6
9. Russia Europe 29.8 million
10. Mexico North America 29.1

Katika Afrika, Tanzania haipo hata katika 10 bora

In 2014, there were over 55.7 million international tourist arrivals to Africa, the top ten African destinations were
1. Morocco 10.2 million
2. Egypt 9.6 million
3. South Africa 9.5 million
4. Tunisia 6.0 million
5. Algeria — 2.7 million
6. Mozambique — 1.8 million
7. Zimbabwe 1.8 million
8. Kenya — 1.4 million
9. Uganda — 1.2 million
10. Namibia — 1.1 million

Jambo la kusikitisha ni kwamba, nchi inayoongoza kwa kutembelewa na watalii wageni katika Afrika ambayo ni Morocco, idadi ya watalii inaowapokea ni chini ya watalii wanaotembelea nchi ya mwisho ya 10 bora ya Ulaya.

In 2014, there were over 582 million international tourist arrivals to Europe, an increase of 3.0% over 2013. In 2014, the top ten destinations were

1. France 83.7 million
2. Spain 65.0 million
3. Italy 48.6 million
4. Turkey 39.8 million
5. Germany 33.0 million
6. United Kingdom 32.6 million
7. Russia 29.8 million 28.4
8. Austria 25.2 million
9. Greece 22.0 million
10. Poland 16.0 million

Ukija kwenye mapato ya utalii, Tanzania na Afrika si lolote na si chochote. Idadi kubwa ya watalii inawianika kwa kiwango kikubwa na mapato ya utalii. Hayo maneno ya kusema kuwa unaweza kuwa na watalii wachache halafu mapato yakawa makubwa ni ndoto za alinacha zinazootwa na maprofesa wa Tanzania pekee.

International tourism receipts grew to US$1,245 billion in 2014, corresponding to an increase in real terms of 3.7% from 2013.[11] The World Tourism Organization reports the following countries as the top ten tourism earners for the year 2014, with the United States by far the top earner.
1
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States North America $177.2 billion
2
23px-Flag_of_Spain.svg.png
Spain Europe $65.2 billion
3
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China Asia $56.9 billion
4
23px-Flag_of_France.svg.png
France Europe $55.4 billion
5
23px-Flag_of_Macau.svg.png
Macau Asia $50.8 billion
6
23px-Flag_of_Italy.svg.png
Italy Europe $45.5 billion
7
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom Europe $45.3 billion
8
23px-Flag_of_Germany.svg.png
Germany Europe $43.3 billion
9
23px-Flag_of_Thailand.svg.png
Thailand Asia $38.4 billion
10
23px-Flag_of_Hong_Kong.svg.png
Hong Kong Asia $38.4 billion

Kwa mapato ya utalii wa kimataifa katika Afrika, nchi inayoongoza ni Afrika Kusini ($9.4 billion) ikifuatiwa na Misri ($7.2 billion), Morrocco ($7.1 billion) na Tunisia ($2.3 bilion). Kwa ujumla yule anayeongoza kwa mapato ya utalii katika Afrika hayupo katika 10 bora za Dunia, na ni chini ya mapato ya nchi ya mwisho ya 10 bora katika mabara mengine.

Mapato ya utalii ya Tanzania kwa mwaka 2014 yalikuwa $1.95 billion, chini kuliko mapato ya Singapore ($19.20 billion), Turkey ($37.37 billion), Qatar (10.58 billion) au Misri ($7.21 billion). Singapore, Turkey, Qatar na Misri hawana twiga wala tembo lakini wanatuzidi kwa idadi ya watalii na kimapato mara dufu.

Profesa Maghembe, Rais wetu na Watanzania, wanatakiwa kufahamu kuwa vivutio vya utalii ni zaidi ya idadi ya tembo, fisi, twiga, pundamilia na ngiri tulio nao. Utalii mkubwa ni akili, yaani unaweza kufanya nini kwa kutegemea mazingira yako ili watu wa mataifa mengine waje kushuhudia na kustarehe katika mazingira yako.

Watanzania, kwa ujinga wetu, tunaamini kuwa kwa sababu tu tuna nyumbu wengi, twiga na tembo basi watu wengi, Dunia nzima wanahangaika ili waje watazame sura ya twiga. Watalii hawana haja na sura ya pundamilia wala mbwa mwitu bali wanataka kuona mazingira ya kuvutia yaliyo tofauti na mahali pengine, na sisi tunaweza kuwatumia wanyama hao kuweza kuyafanya mazingira yetu kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Misri ambako mapiramidi na chuo kikuu cha kwanza cha Alexandria, vimetosha kuizidi Tanzania kimapato.

Ushauri wangu kwa Rais, fukuza kazi prof. Maghembe maana amekupotosha kwa kueleza kuwa hakuna uhusiano wa mapato katika utalii na idadi ya watalii. Waziri unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye ataihakikishia Tanzania inapata ongezeko kubwa la watalii na siyo upungufu wa watalii. Bila ya kujali kama ongezeko la idadi ya utalii na mapato ya utalii vitategemea kupungua kwa kodi au kuondoa baadhi ya kodi, au kuongeza mbinu za kujitangaza au kuboresha miundombinu na huduma za kitalii, ukweli ni kwamba tunahitaji ongezeko la idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii ambavyo vinaenda sambamba hata kama siyo kwa uwiano 1:1

Rais Magufuli hatutakuelewa kama pamoja na vyote tulivyo navyo, lakini mapato ya utalii yataendelea kuwa chini kuliko ya Afrika Kusini, Misri, Morocco, Tunisia na Kenya, huku wewe mwenyewe ukisema tuna vivutio vingi vya utalii. Tuna vivutio vya utalii visivyovutia watalii.

Mheshimiwa Rais, hotuba zako za mara kwa mara za kuelezwa nchi hii imeibiwa sana tumekwishazisikia kiasi cha kutosha, sasa tunahitaji kusikia kutoka kwako juu ya mbinu za kuongeza mapato ya utalii (siyo kodi za utalii bali mapato), mbinu za kuongeza mauzo ya mazao yetu nje ya nchi, mkakati wa kujenga uchumi wa viwanda, na namna rasilimali nyingine kama gas na madini zinavyoweza kubadilishwa kuwa mapato ya wananchi na Taifa. Mheshimiwa Rais tunataka mbinu na mikakati ya kuongeza mapato ya Watanzania.

Sisi wengine daima tutazidi kueleza pale tunapoona mbinu siyo sahihi. Tunaamini una dhamira njema lakini tuna mashaka makubwa katika mbinu.

Binadamu tuna miaka michache Duniani, hatuna muda wa kufanya majaribio bali tunatakiwa kuenenda kwa namna na mbinu zilizosahihi katika kuibadilisha nchi hii iliyo maskini kupindukia lakini iliyo na fursa nyingi zilizofunikwa. Fursa ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kitalii ni kubwa sana lakini hatuna watu wa kuweza kufungua fursa hizo ili jamii iweze kuziona kwa sababu waliopewa mamlaka ya kuzifunua kwa umma wanafanya kila mbinu ya kuzifunika ili wananchi wasizione na wala wasizifaidi.

Hongera Ndugu kwa uchambuzi...."No research no right to speak"
 
aiseeeeee kama ni kweli tuna aja ya kutimua aliyetoa ripoti kwa rais kuhusu utalii
ripoti ambayo rais anaisimamia kuzungumza na watu wake.
rais anaweza kuwa mzuri ila akapotoshwa na msaidizi kwa ripoti mbovuu.
sioni sababu ya kupandisha VAT wakati idadi ya watalii ulionao ni wachache kwa rekodi za nyuma,
ukipandisha na hao wachache wanakukimbia.
pia hao wachache washajuaa mazingira yeetu hivyo kujirazimisha kuja ngumu ikiwa mumewapandishia mikodiii
 
Hizi kodi kana kwamba hamzimhusu domestic tourist,ila kwa kuwa hatuna utaratibu wa kutembelea vivutio vyetu serikali wanatuignore,na sisi wenyewe tunajiignore...
Uzi mzuri sana,Sasa nimeanza kuelewa kwa nini ISIS wanaishambulia zaidi na zaidi Ufaransa,Pengine na hii ni sababu mojawapo,Kuharibu utalii wao....
 
A very contradictory article, though i am a bit concerned on how we manage our tourism sector,

Namba 7 : umesema kwamba kuna watu wanaamini kwamba Tanzania ina vivutio vingi vya Utalii, Jambo ambalo ni UWONGO.

Content ya mada yako imekuja na list ya the most toured countries, na zile zinazotengeneza fedha nyingi kutokana na utalii, hivyo data kuonesha ni nchi zipi ambazo zina vivutio vingi vya utalii ili kujustify statement yako kwamba dhana iliyopo ni uongo, hamna.

Ni kweli kwamba tuna vivutio vingi vya utalii kuliko nchi nyingine, kwakua hata hizo zilizopo katika list uliyoweka unaweza kuta wanategemea beach pekee. Sisi tunazo beach za kutosha lakini hazituingizii kipato.

Nchi nyingi za Africa hazipati watalii wa kutosha kwa kua hakuna juhudi za kutosha kutoka kwa waafrika wenyewe katika kutengeneza positive image ya bara. Bado huko ulaya kuna mentality ya kwamba africa ni bara la vita na magonjwa.

Mfano mzuri ni matajiri wakubwa wa madini, hawawezi kuja afrika kuwekeza kwakua wanasema hakuna usalama, hivyo katika biashara yoyote hutuma wawakilishi wao tu, na hutawaona wenyewe.

Ukiachana na swala la usalama ambalo ndilo ajenda kuu, kuna swala jingine ni upatikanaji wa mahitaji muhimu ya kijamii, visa, na mambo mengine mengi.

Ili kuvutia watalii zinahitajika jitihada za wazi kabisa kuhakikisha kwamba kuna mazingira mazuri na yaliyoboreshwa. Mpaka sasa sijaona jitihada za wazi au makusudi toka kwa wahusika kuhakikisha kwamba rasilimali zetu zinapata aitime ya kutosha.
 
Msomi kuandika suluhisho kijumla jumla hivyo anaonyesha alivyo na upeo mdogo.Alitakiwa aeleze kivipi? atoe takwimu kuwa hali ilivyo sasa ya miundombinu ikoje au utangazaji ulivyo sasa ukoje na una mapungufu yepi na atoe vithibitisho kuwa upungufu uko wapi.Aeleze nchi sasa inafanya hivi katika kutangaza mfano inatakiwa ifanye hivi na vile.Lakini kueleza tu kama mnywa kiroba kuwa serikali iweke miundo mbinu na iwe na mbinu za kutangaza BULLSHIT!! Angekuwa mshauri wangu ningemfukuza kazi siku hiyo hiyo na huo ushauri wake ningeutumbukiza kwenye shimo la choo.
Hii ndo hazina ya Taifa..maana nilitegemea wewe kuja concrete solutions or recommendations ila umekuja kupaka lami mawazo yake tu. Kama hizo umeona non sense ebu shauri worthwhile solution zako bro, kulikoni kusema hivi na vile ndo vinini hivyo aisee...
 
Tatizo twaacha mbachao kwa msala upitao, eti siondoi VAT wacha bwana, kisa kuna gesi ambayo kuichimba mpaka aje muwekezaji ambae ametufikisha kwenye umaskini uliotukuka. Kazi ni kwetu hii ndio inaitwa kula jeuri yako.
 
Hizi takwimu anaziandika nani na kwa lengo gani - tusichukulie kila kinacho andikwa na baadhi ya vyombo hivo kama ni gospel truth - mfano: Nani anaweza kuamini kwamba Mozambique na Namibia zinatembelewa na watalii wengi kuliko Tanzania?? - Mambo mengine mnaweka chumvi mno.

Tumesoma,kuishi na kufanya kazi nchi za magharibi tunajua vizuri kinacho endelea huko: Yaani hata hamjiulizi kwa nini watalii wengi wanapendelea sana kutembelea Nchi za North Africa, Spain na Uturuki? Jibu ni rahisi - wanakwenda huko kwa kuwa ni karibu na kwao hivyo awawezi kutumia gharama kubwa.

Watu wanacho sahau ni kwanba watalii wengi ni watu wa kawaida/masikini wanafanya kazi viwandani na maofisini wana kawaida ya kujibana kwenye matumizi ili wa save fedha za kuwawezesha kwenda kutalii, utawasikia wanakwambia kwamba ntapunguza matumizi ili niweze ku save fedha za kwenda holiday - wazungu suala la kwenda Holiday nchi za nje 4 a sun tan wanalichukulia seriously lakini hilo alimaanishi wengi wao wana uwezo sana kifedha - hapana.

Binafsi kauli ya Prof.Maghembe nilielewa sana na ina mantiki sana - lakini baadhi ya watu wameanza kumshambulia, kumzulia na lawana juu - awajui yeye alitumia tafiti gani mpaka kufikia uhamuzi wake, wanao lialia ni madalali walio zoea vya mteremko - Serikali ilikuwa inakosa mapato mengi kutokana na mbinu chafu za kundi hili - wacha tujibane hivyo hivyo mwisho wa siku ukweki utadhilika, mbona Kenya mnayo isifia haipo kwenye kumi bora, je, nayo inatoza VAT?

Watalii wenye peza zao zisizo za kubangaiza awezi kukataa kutembelea nchi anayo taka kwa kuogopa kulipia VAT - kwao suala hilo ni immaterial kabisa, wangapi watalii matajiri wanakuja Tanzania kitalii kwa usafiri wa kutumia ma Yatch yao kwa masharti kwamba wasitangazwe kwenye vyombo vya habari mfano wa matajiri hao ni Billgates Co-founder one Paul Allen na wengine - nani alijua walitembelea Tanzania kitalii kimya kimya - wanajali sana privacy zao.

Wapeni time Prof.Maghembe na Dk.Magufuli, baada ya mwaka mmoja kupita njooni muwa-prove them wrong katika mahamuzi yao.
 
Mada nzuri sana inatoa mwanga kwa walo lala waamke , wenge ukungu wakufikiri wajitambue...
Watalii jambo kubwa ni Usalama wao...popote saa yoyote wao wanapenda wawe salama....bila ya kuondoa Vibaka na majambazi hawaji ..watakua tu wabeba mizigo mgongoni
Watalii wana fata vitu tofauti..street food , mama ntilie iliokua well organised itavutia watalii...sisi tunawafukuza
Utajiri wa matunda..yanauzwa mitaani kwa utaratibu mzuri..wanapenda kujaribi kula matunda ambayo kwao hakuna..
Watalii watapenda kuona cultural centres zinazo onesha utamaduni wetu
Watalii watapenda kungalia live events za utamaduni wetu..sio madisco
Watalii watapenda kutembea uswahilini ndani ..huko manzwse, tandika...bila ya woga wa kuibiwa
Hii Dar es salaam kama kuna vision inaweza kugeuzwa kuwa kituo kikubwa cha utalii kuliko mombasa na kuliko Arusha...Nini kiko Mombasa ambacho Dar wana kosa ? Hakuna ..tena Dar iko vizuri zaidi....ila sisi **** mijizi na vibaka kila mahali..boda boda wamegeuka majambazi na wezi wa kukwapua mabegi yawanawake, nani atakuja hapa ?
Watalii hapa wanataka waje, waende beach, wavute ma shisha yao, waonje vyakula vya kiswahili , mabiriani , mapilau, maandazi, ten wale kwa mama ntilie..
Leo mama ntilie wanafukuzwa, hakuna mpango wowote kwao, shisha marufuku....sasa Dar watalii waje kuangalia magorofa ?
 
Kuna mambo unapswa uelewe kuhusu Utalii wetu na hili pia Raisi Maguduli ameliongelea, ni kwamba hatutaki cheap mass tourism bali tunataka watalii ambao hawataharibu Mali asili zetu, Hifadhi zetu, tunataka Serengeti ibakie kuwa Serengeti mwaka 2070 na hii ndiyo moja kati ya sababu kwa nini Utalii Tanzania siku zote ni aghali klk nchi nyingi za Kiafrika, kupanda Ml.Kili peke yake ni karibu USD 700 wkt kupanda Ml.Kenya ni USD 70, kwenda Serengeti au Ngorongoro ni aghali ukilingansiha na nchi nyingine na kuna sababu kwa nini imefanywa hivi na hili siyo kwa kwa sababu tu Serikali inataka iwe hivyo bali wadau wa mazingira wa ndani na nje ya nchi pia wengi wanataka Serengeti, Ngorongoro zibakie kuwa ghali ili kuzinusuru na cheap mass tourism ambapo huaribu Mazingira na hifadhi!

Leo hii kwa mfano Kenya, Masai Mara imekwisha na imeharibiwa kabisa kwa sababu ya cheap mass tourism hata kuna kipindi wanyama waligoma kwenda huko upande wa Kenya, hivyo sisi TanZania tunataka watalii na kufanya utalii lkn ambao ni endelevu na kuwa klk kupata mamilioni ya Watalii halafu baada ya miaka 20 hakuna Serengeti tena, hapana!
Mkuu

Mkuu kwanza nikupe pole.

Nadhani huijui Serengeti wa huu mlima Kilimanjaro. Unaposema mautain charge ya Mt. Kilimanjaro ni 700$ wakati Mt. Kenya 70$ unaonyesha weupe wako katika utalii. Labda ungebainisha hiyo figure hapo inapatikana vipi (full safari or par day)

Unaposema Masai Mara wanyama wamegoma na Serengeti bado IPO sijui unamaanisha nini.
Kwa msahada tu ni kwamba Masai Mara na Serengeti zinategemeana sana pasipo kujali ukubwa wala udogo wa ifadhi moja. Katika kitu kinachoitangaza hizi hifadhi mbili ni wildebeest migration. Na kama hifadhi moja itakufa basi hicho kivutio kikubwa hakito kuwepo, na Dunia kwa kulitambua hilo ndio maana hizi hifadhi mbili ni world heritage sites.

Ushauri wangu kwako. Punguza ushabiki wa vyama na uwe unachangia kwa kusaidia sio kutetea ata kama mtetewa ni mkosaji
 
Kuna kitu kidogo sana ambacho hamuelewi na hili siyo kosa lenu bali ni uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kutatua matatizo,

idadi ya watalii ≠ Mapato ya fedha za utalii
Hivyo kama ungekuwa na akili ungeweka hapa pia na mapato ya nchi yanayotokana na Utalii, yaani Utalii unachangia asilimia (%) kwenye pato (GDP) la nchi husika? Na siyo unakuja tu na namba tu zilizo uchi, inawezekana kabisa nchi kama Austria au Uswisi ambazo hazimo hata kwenye orodha yako mchango wa utalii kwenye GDP yao ni mkubwa klk hata Ufaransa au USA!

Jamaa amekupa nchi zinazoongoza kwenye idadi ya Watalii na nchi zenye mapato makubwa kutokana na utalii. Kama mtu hajawahi kutoka na kuona utitiri wa Watalii kwenye miji kama Rome, Dubai, Paris au Washington, kamwe hawezi kumuelewa huyu mleta mada!!

Tatizo Rais amezungumzia kodi kwa watalii. Kwa kawaida watalii wanataka kutumia pesa kidogo kwa kuona mengi. Wengi wa Watalii wanafanya saving ya miaka. Sasa kama anaweza kwenda RSA au Namibia na kuwaona hao wanyama kwa gharama nafuu then ana sababu gani ya kuja Tnazania. Hakuna kitu tulichonacho ambacho wengine hawana!!?

Hata hivyo faida ya watalii wengi ni nyingi zaidi ya kodi; Just imagine tunapata watalii 5 000 000 kwa mwaka hivi unafikiri watatumia kiasi gani kwa siku watakazokaa hapa!!? Assume watakaa nchini kwa siku 5; kama kila moja atakunywa maji chupa tatu tu kwa siku itakuwa 5000 000 x chupa 3 x siku 5 x Tshs 1000 = Tshs 750 000 000 000. Yaani mauzo tu ya maji kwa Watalii tu yangetuingizia 750 billion kwa mwaka.
 
Mkuu wetu anasema kama hulipi VAT hatukutaki, kwani zamani walikua hawalipi? speech kama hiyo inatuma red alert kwa tourists wote kua hatuwajali kabisa, its disrespectful, binadamu tunapenda kuinterpret mambo tunavyojisikia, na in most cases siku hizi wako critical zaidi ukizingatia dunia ina idadi ya wasiojielewa kubwa kuliko wanaojielewa, ndio maana hua tunasema waandaliwe speech sio kuropoka.

Tunajidai tuna kila kitu huku hatuna chochote, ngoja tuendelee kufukuza tukidhani watakuja kutupigia magoti, mtu ambaye hajatembea hawezi jua kua ni cheaper kwenda kutembelea nchi kama US kuliko Tanzania (hii ni fact) tourism locations za Tz ni very expensive na tunajitahidi kuzifanya even more expensive. Kukusanya hela kwenye utalii tusingeconcentrate kwenye kuongeza VAT, concentration yetu ingekua kwenye kuleta more people, kubuild experiences ambazo zitavutia watu kuja Tz kua na wanyama peke yake is nothing kama we are not innovative, we have to transform hizi tourist destinations into paradise sio kuzifunga au kupunguza employees kucover costs. "Father is always right"
 
Watanzania ni watu wenye bahati mbaya sana maana mara nyingi wanaaminishwa kuwa wao ni bora katika kila kitu. Wengi wao, kwa ujinga tu, nao wameyabeba maneno hayo na kuyaweka katika vichwa vyao.

1.Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina dhahabu nyingi kuliko nchi yoyote Duniani, ambao ni uwongo, lakini wao wanaamini

2. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa tuna gas nyingi kuliko nchi yoyote, ambao ni uwongo

3. Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina madini ya kila namna na ina madini mengi kuliko nchi yoyote Duniani/Afrika, ambao ni uwongo

4. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye amani kuliko nchi zote za Afrika, ambao ni uwongo

5. Wapo Watanzania wanoamini kuwa nchi yetu ina demokrasia, utawala wa sheria na uongozi mzuri kuliko nchi yoyote ya kiafrika, nao ni uwongo lakini wanaamini

6. Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ni nchi nzuri sana ambayo kila mwanadamu angependa kuja na kuishi, nao ni uwongo lakini wengi wanaamini hivyo

7. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi na mazingira mazuri ya utalii ambayo hayapo mahali pengine popote Duniani, ambao ni uwongo mkubwa.

Takwimu za mwaka 2014 kuhusu utalii wa kimataifa (International tourist arrivals) inaonesha kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi 10 za juu katika kutembelewa na watalii. Hii inaonesha kuwa watalii hawa wa kizungu wanapendelea zaidi kwenda kwenye mabara mengine kuliko Afrika.

In 2014, there were 1.133 billion international tourist arrivals worldwide, with a growth of 4.3% as compared to 1.087 billion in 2013.[1] The top 10 international tourism destinations in 2014 were

1. France Europe 83.7 million
2. United States North America 74.8 million
3. Spain Europe 65.0 million
4. China Asia 55.6 million
5. Italy Europe 48.6 million
6. Turkey Europe 39.8 million
7. Germany Europe 33.0 million
8. United Kingdom Europe 32.6
9. Russia Europe 29.8 million
10. Mexico North America 29.1

Katika Afrika, Tanzania haipo hata katika 10 bora

In 2014, there were over 55.7 million international tourist arrivals to Africa, the top ten African destinations were
1. Morocco 10.2 million
2. Egypt 9.6 million
3. South Africa 9.5 million
4. Tunisia 6.0 million
5. Algeria — 2.7 million
6. Mozambique — 1.8 million
7. Zimbabwe 1.8 million
8. Kenya — 1.4 million
9. Uganda — 1.2 million
10. Namibia — 1.1 million

Jambo la kusikitisha ni kwamba, nchi inayoongoza kwa kutembelewa na watalii wageni katika Afrika ambayo ni Morocco, idadi ya watalii inaowapokea ni chini ya watalii wanaotembelea nchi ya mwisho ya 10 bora ya Ulaya.

In 2014, there were over 582 million international tourist arrivals to Europe, an increase of 3.0% over 2013. In 2014, the top ten destinations were

1. France 83.7 million
2. Spain 65.0 million
3. Italy 48.6 million
4. Turkey 39.8 million
5. Germany 33.0 million
6. United Kingdom 32.6 million
7. Russia 29.8 million 28.4
8. Austria 25.2 million
9. Greece 22.0 million
10. Poland 16.0 million

Ukija kwenye mapato ya utalii, Tanzania na Afrika si lolote na si chochote. Idadi kubwa ya watalii inawianika kwa kiwango kikubwa na mapato ya utalii. Hayo maneno ya kusema kuwa unaweza kuwa na watalii wachache halafu mapato yakawa makubwa ni ndoto za alinacha zinazootwa na maprofesa wa Tanzania pekee.

International tourism receipts grew to US$1,245 billion in 2014, corresponding to an increase in real terms of 3.7% from 2013.[11] The World Tourism Organization reports the following countries as the top ten tourism earners for the year 2014, with the United States by far the top earner.
1
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States North America $177.2 billion
2
23px-Flag_of_Spain.svg.png
Spain Europe $65.2 billion
3
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China Asia $56.9 billion
4
23px-Flag_of_France.svg.png
France Europe $55.4 billion
5
23px-Flag_of_Macau.svg.png
Macau Asia $50.8 billion
6
23px-Flag_of_Italy.svg.png
Italy Europe $45.5 billion
7
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom Europe $45.3 billion
8
23px-Flag_of_Germany.svg.png
Germany Europe $43.3 billion
9
23px-Flag_of_Thailand.svg.png
Thailand Asia $38.4 billion
10
23px-Flag_of_Hong_Kong.svg.png
Hong Kong Asia $38.4 billion

Kwa mapato ya utalii wa kimataifa katika Afrika, nchi inayoongoza ni Afrika Kusini ($9.4 billion) ikifuatiwa na Misri ($7.2 billion), Morrocco ($7.1 billion) na Tunisia ($2.3 bilion). Kwa ujumla yule anayeongoza kwa mapato ya utalii katika Afrika hayupo katika 10 bora za Dunia, na ni chini ya mapato ya nchi ya mwisho ya 10 bora katika mabara mengine.

Mapato ya utalii ya Tanzania kwa mwaka 2014 yalikuwa $1.95 billion, chini kuliko mapato ya Singapore ($19.20 billion), Turkey ($37.37 billion), Qatar (10.58 billion) au Misri ($7.21 billion). Singapore, Turkey, Qatar na Misri hawana twiga wala tembo lakini wanatuzidi kwa idadi ya watalii na kimapato mara dufu.

Profesa Maghembe, Rais wetu na Watanzania, wanatakiwa kufahamu kuwa vivutio vya utalii ni zaidi ya idadi ya tembo, fisi, twiga, pundamilia na ngiri tulio nao. Utalii mkubwa ni akili, yaani unaweza kufanya nini kwa kutegemea mazingira yako ili watu wa mataifa mengine waje kushuhudia na kustarehe katika mazingira yako.

Watanzania, kwa ujinga wetu, tunaamini kuwa kwa sababu tu tuna nyumbu wengi, twiga na tembo basi watu wengi, Dunia nzima wanahangaika ili waje watazame sura ya twiga. Watalii hawana haja na sura ya pundamilia wala mbwa mwitu bali wanataka kuona mazingira ya kuvutia yaliyo tofauti na mahali pengine, na sisi tunaweza kuwatumia wanyama hao kuweza kuyafanya mazingira yetu kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Misri ambako mapiramidi na chuo kikuu cha kwanza cha Alexandria, vimetosha kuizidi Tanzania kimapato.

Ushauri wangu kwa Rais, fukuza kazi prof. Maghembe maana amekupotosha kwa kueleza kuwa hakuna uhusiano wa mapato katika utalii na idadi ya watalii. Waziri unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye ataihakikishia Tanzania inapata ongezeko kubwa la watalii na siyo upungufu wa watalii. Bila ya kujali kama ongezeko la idadi ya utalii na mapato ya utalii vitategemea kupungua kwa kodi au kuondoa baadhi ya kodi, au kuongeza mbinu za kujitangaza au kuboresha miundombinu na huduma za kitalii, ukweli ni kwamba tunahitaji ongezeko la idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii ambavyo vinaenda sambamba hata kama siyo kwa uwiano 1:1

Rais Magufuli hatutakuelewa kama pamoja na vyote tulivyo navyo, lakini mapato ya utalii yataendelea kuwa chini kuliko ya Afrika Kusini, Misri, Morocco, Tunisia na Kenya, huku wewe mwenyewe ukisema tuna vivutio vingi vya utalii. Tuna vivutio vya utalii visivyovutia watalii.

Mheshimiwa Rais, hotuba zako za mara kwa mara za kuelezwa nchi hii imeibiwa sana tumekwishazisikia kiasi cha kutosha, sasa tunahitaji kusikia kutoka kwako juu ya mbinu za kuongeza mapato ya utalii (siyo kodi za utalii bali mapato), mbinu za kuongeza mauzo ya mazao yetu nje ya nchi, mkakati wa kujenga uchumi wa viwanda, na namna rasilimali nyingine kama gas na madini zinavyoweza kubadilishwa kuwa mapato ya wananchi na Taifa. Mheshimiwa Rais tunataka mbinu na mikakati ya kuongeza mapato ya Watanzania.

Sisi wengine daima tutazidi kueleza pale tunapoona mbinu siyo sahihi. Tunaamini una dhamira njema lakini tuna mashaka makubwa katika mbinu.

Binadamu tuna miaka michache Duniani, hatuna muda wa kufanya majaribio bali tunatakiwa kuenenda kwa namna na mbinu zilizosahihi katika kuibadilisha nchi hii iliyo maskini kupindukia lakini iliyo na fursa nyingi zilizofunikwa. Fursa ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kitalii ni kubwa sana lakini hatuna watu wa kuweza kufungua fursa hizo ili jamii iweze kuziona kwa sababu waliopewa mamlaka ya kuzifunua kwa umma wanafanya kila mbinu ya kuzifunika ili wananchi wasizione na wala wasizifaidi.
Ni hoja nzuri, lakini kumbuka kuwa Waziri wa Maliasili pekee hawezi kuendeleza utalii. Tutafukuza kila waziri anayeteuliwa lakini hali itabaki hivyo hivyo kama ulivyofafanua. Swali la kujiuliza ni kama tuna National Carrier ya kuwaleta watalii moja kwa moja nchini Tanzania, hiyo sio kazi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, yeye kazi yake ni kuhakikisha kuwa vivutio vya utalii vinakuwepo katika hali nzuri ambayo ni shindani duniani. Aidha, Sekata Binafis inashirikije katika kuendesha utalii kama biashara, kumbuka Tanzania imeanza kuona Utalii kama biashara katika miaka ya 90, hivyo, huwezi kuingalisha na nchi ambazo zina miaka zaidi ya 50 zikifanya kazi hiyo tena ikiwa inashikiliwa na Sekta Binafsi. Fikiria kwanza hoja yako kabla ya kumlaum mtu.Kitendo cha kuwekwa kodi hakiwezi kufukuza wageni kama nchi imejipanga vizuri ili kurahizisha safari yao, usitegemee jirani yako akuletee wageni ilhali na yeye anawahitaji na hizo big 5 anazo.
 
Matatizo ya Tanzania katika utalii.........

1. Hakuna waziri ambaye yupo makini katika wizara hii na teuzi ya waziri wa kuiongoza wizara hii huwa haipewi uzito wake...
Inabidi apatikane waziri mwenye upeo wa kibiashara na ikiwezekana watu watume maombi ya uwaziri wa wizara hii

2. Viongozi wote wanafikiria utalii ni wa kanda ya kaskazini ambao tayari umeshauzwa ulimwenguni kwa jina la Kenya..... Kuna kanda nyingi ambazo zina vivutio vingi tena vya kipekee duniani kama saadani

3.tunafikiria utalii ni wa vivutio vya asili vya kijiografia tu na kusahau kuwa kuna utalii wa kihistoria ambao huwa wa kipekee zaidi mfano:- historia ya dar inakufa kwa kuyavunja maghorofa ya zamani katika posta

4. Miji yetu inatia aibu kwa miundombinu na mandhari kiujumla...yaani mipamgo miji hawajui kuwa wanabidi waboreshe miji yetu kwa kuwa ndipo watalii hufikia na pia hujichanganya na watu wa nchi hii.....

Mfano:- hakuna recreational parks wala barabara za watembea kwa miguu.. Daladala tunajazana kama mafungu ...
Mji una maghorofa mazuri kama mwanza lakini mpangilio mbovu unaipa muonekano wa "SLUM"...

SERIKALI IYAFANYIE KAZI HAYA
 
Watanzania ni watu wenye bahati mbaya sana maana mara nyingi wanaaminishwa kuwa wao ni bora katika kila kitu. Wengi wao, kwa ujinga tu, nao wameyabeba maneno hayo na kuyaweka katika vichwa vyao.

1.Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina dhahabu nyingi kuliko nchi yoyote Duniani, ambao ni uwongo, lakini wao wanaamini

2. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa tuna gas nyingi kuliko nchi yoyote, ambao ni uwongo

3. Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina madini ya kila namna na ina madini mengi kuliko nchi yoyote Duniani/Afrika, ambao ni uwongo

4. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye amani kuliko nchi zote za Afrika, ambao ni uwongo

5. Wapo Watanzania wanoamini kuwa nchi yetu ina demokrasia, utawala wa sheria na uongozi mzuri kuliko nchi yoyote ya kiafrika, nao ni uwongo lakini wanaamini

6. Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ni nchi nzuri sana ambayo kila mwanadamu angependa kuja na kuishi, nao ni uwongo lakini wengi wanaamini hivyo

7. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi na mazingira mazuri ya utalii ambayo hayapo mahali pengine popote Duniani, ambao ni uwongo mkubwa.

Takwimu za mwaka 2014 kuhusu utalii wa kimataifa (International tourist arrivals) inaonesha kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi 10 za juu katika kutembelewa na watalii. Hii inaonesha kuwa watalii hawa wa kizungu wanapendelea zaidi kwenda kwenye mabara mengine kuliko Afrika.

In 2014, there were 1.133 billion international tourist arrivals worldwide, with a growth of 4.3% as compared to 1.087 billion in 2013.[1] The top 10 international tourism destinations in 2014 were

1. France Europe 83.7 million
2. United States North America 74.8 million
3. Spain Europe 65.0 million
4. China Asia 55.6 million
5. Italy Europe 48.6 million
6. Turkey Europe 39.8 million
7. Germany Europe 33.0 million
8. United Kingdom Europe 32.6
9. Russia Europe 29.8 million
10. Mexico North America 29.1

Katika Afrika, Tanzania haipo hata katika 10 bora

In 2014, there were over 55.7 million international tourist arrivals to Africa, the top ten African destinations were
1. Morocco 10.2 million
2. Egypt 9.6 million
3. South Africa 9.5 million
4. Tunisia 6.0 million
5. Algeria — 2.7 million
6. Mozambique — 1.8 million
7. Zimbabwe 1.8 million
8. Kenya — 1.4 million
9. Uganda — 1.2 million
10. Namibia — 1.1 million

Jambo la kusikitisha ni kwamba, nchi inayoongoza kwa kutembelewa na watalii wageni katika Afrika ambayo ni Morocco, idadi ya watalii inaowapokea ni chini ya watalii wanaotembelea nchi ya mwisho ya 10 bora ya Ulaya.

In 2014, there were over 582 million international tourist arrivals to Europe, an increase of 3.0% over 2013. In 2014, the top ten destinations were

1. France 83.7 million
2. Spain 65.0 million
3. Italy 48.6 million
4. Turkey 39.8 million
5. Germany 33.0 million
6. United Kingdom 32.6 million
7. Russia 29.8 million 28.4
8. Austria 25.2 million
9. Greece 22.0 million
10. Poland 16.0 million

Ukija kwenye mapato ya utalii, Tanzania na Afrika si lolote na si chochote. Idadi kubwa ya watalii inawianika kwa kiwango kikubwa na mapato ya utalii. Hayo maneno ya kusema kuwa unaweza kuwa na watalii wachache halafu mapato yakawa makubwa ni ndoto za alinacha zinazootwa na maprofesa wa Tanzania pekee.

International tourism receipts grew to US$1,245 billion in 2014, corresponding to an increase in real terms of 3.7% from 2013.[11] The World Tourism Organization reports the following countries as the top ten tourism earners for the year 2014, with the United States by far the top earner.
1
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States North America $177.2 billion
2
23px-Flag_of_Spain.svg.png
Spain Europe $65.2 billion
3
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China Asia $56.9 billion
4
23px-Flag_of_France.svg.png
France Europe $55.4 billion
5
23px-Flag_of_Macau.svg.png
Macau Asia $50.8 billion
6
23px-Flag_of_Italy.svg.png
Italy Europe $45.5 billion
7
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom Europe $45.3 billion
8
23px-Flag_of_Germany.svg.png
Germany Europe $43.3 billion
9
23px-Flag_of_Thailand.svg.png
Thailand Asia $38.4 billion
10
23px-Flag_of_Hong_Kong.svg.png
Hong Kong Asia $38.4 billion

Kwa mapato ya utalii wa kimataifa katika Afrika, nchi inayoongoza ni Afrika Kusini ($9.4 billion) ikifuatiwa na Misri ($7.2 billion), Morrocco ($7.1 billion) na Tunisia ($2.3 bilion). Kwa ujumla yule anayeongoza kwa mapato ya utalii katika Afrika hayupo katika 10 bora za Dunia, na ni chini ya mapato ya nchi ya mwisho ya 10 bora katika mabara mengine.

Mapato ya utalii ya Tanzania kwa mwaka 2014 yalikuwa $1.95 billion, chini kuliko mapato ya Singapore ($19.20 billion), Turkey ($37.37 billion), Qatar (10.58 billion) au Misri ($7.21 billion). Singapore, Turkey, Qatar na Misri hawana twiga wala tembo lakini wanatuzidi kwa idadi ya watalii na kimapato mara dufu.

Profesa Maghembe, Rais wetu na Watanzania, wanatakiwa kufahamu kuwa vivutio vya utalii ni zaidi ya idadi ya tembo, fisi, twiga, pundamilia na ngiri tulio nao. Utalii mkubwa ni akili, yaani unaweza kufanya nini kwa kutegemea mazingira yako ili watu wa mataifa mengine waje kushuhudia na kustarehe katika mazingira yako.

Watanzania, kwa ujinga wetu, tunaamini kuwa kwa sababu tu tuna nyumbu wengi, twiga na tembo basi watu wengi, Dunia nzima wanahangaika ili waje watazame sura ya twiga. Watalii hawana haja na sura ya pundamilia wala mbwa mwitu bali wanataka kuona mazingira ya kuvutia yaliyo tofauti na mahali pengine, na sisi tunaweza kuwatumia wanyama hao kuweza kuyafanya mazingira yetu kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Misri ambako mapiramidi na chuo kikuu cha kwanza cha Alexandria, vimetosha kuizidi Tanzania kimapato.

Ushauri wangu kwa Rais, fukuza kazi prof. Maghembe maana amekupotosha kwa kueleza kuwa hakuna uhusiano wa mapato katika utalii na idadi ya watalii. Waziri unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye ataihakikishia Tanzania inapata ongezeko kubwa la watalii na siyo upungufu wa watalii. Bila ya kujali kama ongezeko la idadi ya utalii na mapato ya utalii vitategemea kupungua kwa kodi au kuondoa baadhi ya kodi, au kuongeza mbinu za kujitangaza au kuboresha miundombinu na huduma za kitalii, ukweli ni kwamba tunahitaji ongezeko la idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii ambavyo vinaenda sambamba hata kama siyo kwa uwiano 1:1

Rais Magufuli hatutakuelewa kama pamoja na vyote tulivyo navyo, lakini mapato ya utalii yataendelea kuwa chini kuliko ya Afrika Kusini, Misri, Morocco, Tunisia na Kenya, huku wewe mwenyewe ukisema tuna vivutio vingi vya utalii. Tuna vivutio vya utalii visivyovutia watalii.

Mheshimiwa Rais, hotuba zako za mara kwa mara za kuelezwa nchi hii imeibiwa sana tumekwishazisikia kiasi cha kutosha, sasa tunahitaji kusikia kutoka kwako juu ya mbinu za kuongeza mapato ya utalii (siyo kodi za utalii bali mapato), mbinu za kuongeza mauzo ya mazao yetu nje ya nchi, mkakati wa kujenga uchumi wa viwanda, na namna rasilimali nyingine kama gas na madini zinavyoweza kubadilishwa kuwa mapato ya wananchi na Taifa. Mheshimiwa Rais tunataka mbinu na mikakati ya kuongeza mapato ya Watanzania.

Sisi wengine daima tutazidi kueleza pale tunapoona mbinu siyo sahihi. Tunaamini una dhamira njema lakini tuna mashaka makubwa katika mbinu.

Binadamu tuna miaka michache Duniani, hatuna muda wa kufanya majaribio bali tunatakiwa kuenenda kwa namna na mbinu zilizosahihi katika kuibadilisha nchi hii iliyo maskini kupindukia lakini iliyo na fursa nyingi zilizofunikwa. Fursa ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kitalii ni kubwa sana lakini hatuna watu wa kuweza kufungua fursa hizo ili jamii iweze kuziona kwa sababu waliopewa mamlaka ya kuzifunua kwa umma wanafanya kila mbinu ya kuzifunika ili wananchi wasizione na wala wasizifaidi.

Hongera sana mkuu, Heshima mbele. umetafakari, umechambua, umetafiti, umeandika. Nikiangalia ID yako naona umejiunga JF siku chache tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Hii inanipa matumaini kwamba hata baada ya Mzee Mwanakijiji kuchanganyikiwa, kuna kizazi kipya cha wachambuzi wenye hoja nzito, zilizofanyiwa utafiti. (RIP Mzee Mwanakijiji) Ee, maana kama mtu anataka kukupinga, akatafute hizo data na kuja na zingine tofauti na hizo.

Ila mimi nilipomsikiliza Rais wetu mpendwa sana akiongelea kodi zilizoongezwa katika utalii, alipokuwa anahutubia Polisi, naona kwamba actually yeye ndiye aliyekataa kuondoa kodi hiyo. ile tone yake, namna anavyoongea, si kwamba ameshauriwa vibaya, ila yeye ndiye kawashauri washauri wake, ushauri ambao kwa maneno mengine ni amri. haina tofauti na siku ile aliposema "nawaomba wanasiasa wenzangu waache siasa za ushindani wasubiri mwaka 2020", halafu siku chache baadaye akawaagiza polisi kwa lugha kali sana, wamshughulikie yeyote atakayekaidi "agizo". kwa hiyo hakuna tofauti kati ya "ombi" na "amri". kadhalika ukiangalia mapendekezo mengi sana ya serikali kwenye bajeti, yalipita vilevile bila mabadiliko makubwa, na sababu ni kwamba kuna mtu aliyetia ngumu. kwa hiyo ushauri wako kwa mheshimiwa Rais kwamba amtimue Magembe, nadhani hapa hauhitaji kwa sababu kama Magembe yuko tayari kuimba nyimbo na kucheza ngoma inayopigwa Ikulu, basi wala hana tatizo.
 
Back
Top Bottom