Rais Samia: Wadau wa Sekta Binafsi wapewe nafasi ya kununua vichwa vya Treni na Mabehewa ili Reli itumike kikamilifu

Rais Samia: Wadau wa Sekta Binafsi wapewe nafasi ya kununua vichwa vya Treni na Mabehewa ili Reli itumike kikamilifu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia fursa ya huduma ya reli kwa kununua vichwa vya treni na Mabehewa yao wenyewe.

" Ili kuhakikisha Reli hii inatumika kikamilifu endeleeni kuwahamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia fursa hii ya kutumia miundombinu ya reli ya kusafirisha abiria na mizigo kwa kununua vichwa vya treni na mabehewa yao wenyewe. Hii ni Fursa ya biashara. Tutoe furs kwa sekta binafsi wenye uwezo wa nje au ndani ya nchi kuja na mabehewa na vichwa vyao na tukubaliane jinsi ya kuoperate, Sisi serikali kazi yetu ni kuulaza Miundombinu, private sector itumie miundombinu kufanya biashara kwahilo fikirieni mazungumzo na sekta binafsi" amesema Rais Samia

 
Sawa

Apewe Bakhresa

Askofu Gwajima aliwahi kuomba hiyo tenda kwa Shujaa Magufuli lakini Sidhani kama ana uwezo 😄
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
 

Attachments

  • IMG-20250731-WA0251.jpg
    IMG-20250731-WA0251.jpg
    433.4 KB · Views: 14
  • IMG-20250731-WA0249.jpg
    IMG-20250731-WA0249.jpg
    340.2 KB · Views: 15
Washakamilisha miundo mbinu huko au

Ova
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Kwala kwenye mkutano wa hadhara mara baada ya kuzindua Bandari kavu ya Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.
 

Attachments

  • IMG-20250731-WA0235.jpg
    IMG-20250731-WA0235.jpg
    235.7 KB · Views: 14
  • IMG-20250731-WA0239.jpg
    IMG-20250731-WA0239.jpg
    296.8 KB · Views: 17
  • IMG-20250731-WA0237.jpg
    IMG-20250731-WA0237.jpg
    272.6 KB · Views: 16
  • IMG-20250731-WA0233.jpg
    IMG-20250731-WA0233.jpg
    146.4 KB · Views: 15
  • IMG-20250731-WA0231.jpg
    IMG-20250731-WA0231.jpg
    189.9 KB · Views: 18
  • IMG-20250731-WA0238.jpg
    IMG-20250731-WA0238.jpg
    323.9 KB · Views: 15
  • IMG-20250731-WA0240.jpg
    IMG-20250731-WA0240.jpg
    294.7 KB · Views: 15
  • IMG-20250731-WA0234.jpg
    IMG-20250731-WA0234.jpg
    162.7 KB · Views: 14
  • IMG-20250731-WA0242.jpg
    IMG-20250731-WA0242.jpg
    399.9 KB · Views: 18
  • IMG-20250731-WA0236.jpg
    IMG-20250731-WA0236.jpg
    222.8 KB · Views: 14
  • IMG-20250731-WA0232.jpg
    IMG-20250731-WA0232.jpg
    129.5 KB · Views: 15
  • IMG-20250731-WA0241.jpg
    IMG-20250731-WA0241.jpg
    266.7 KB · Views: 15
Kwa sasa hatutaki taarifa toka ccm ,wala uchaguzi maana kama ni uchaguzi mlishaachiwa ,kilicho mbele yetu kwa sasa ni Mwenyekiti wa chama mh lissu alie Mahabusu, mengine badae.

Ccm imetrend kidogo na hili la uchaguzi wao wa ndani kwa wagombea wake na limeisha sasa ,aya sasa wamebakiza lipi lingine ?

Mungu analipenda sana hili Taifa .
 
Back
Top Bottom