Uwekezaji SGR; sekta binafsi washirikishwe

Tanzania Railways Corp

Govt Institution
Joined
Mar 23, 2018
Posts
292
Reaction score
690
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa ametembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja vilivyopo jijini Dar es Salaam.

Mhe. Prof. Mbarawa amesisitiza suala la ushirikishwaji wa sekta binafsi hasa kwa upande wa mizigo ili kuweza kuongeza mapato katika sekta ndogo ya reli.

“Ili usafiri huu uwe endelevu lazima tufanye Open Access, tuingize wadau wengi waweze kuleta mabehewa yao pamoja na vichwa vyao ili waweze kufanya huo usafiri pia reli inapaswa kufanya kazi saa 24 kwakuwa uwekezaji huu ni lazima urejeshe fedha ambazo serikali imewekeza ” alisisitiza Mhe. Prof. Mbarawa.

Aidha Mhe. Prof. Mbarawa aliwaasa wafanyakazi waliopata fursa ya kusimamia na kuendesha treni wafuate kanuni na taratibu ili kuweka ufanisi wa kazi na kuepusha kutokea kwa ajali.

“Kanuni za uendeshaji pekee ndio zitatupa usalama wa treni zetu na tukifuata hivyo hakutakuwa na ajali sababu ya kufuata miongozo na reli itadumu muda mrefu” aliongezea Mhe. Prof. Mbarawa.

Usafiri wa reli yenye kiwango cha mataifa umeleta mapinduzi makubwa ya usafirishaji kwa kuendelea kutoa huduma bora nchini.
 
Mnawezaje kupeleka taarifa eneo ambalo serikali hiyohiyo imeifungia?

Serikali yenu inamambo yakis3ng3 sana
 
😂 😂 😂 😂 😂 haya mambo haya!? Kwa hiyo agency ya serekale imevunja sheria!?

Nasema huku naogopa🤣🤣🤣🤣
 
Hayo mambo wawaachie viongozi watakaochaguliwa na wananchi
 
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa ametembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja vilivyopo jijini Dar es Salaam.

Mhe. Prof. Mbarawa amesisitiza suala la ushirikishwaji wa sekta binafsi hasa kwa upande wa mizigo ili kuweza kuongeza mapato katika sekta ndogo ya reli.

“Ili usafiri huu uwe endelevu lazima tufanye Open Access, tuingize wadau wengi waweze kuleta mabehewa yao pamoja na vichwa vyao ili waweze kufanya huo usafiri pia reli inapaswa kufanya kazi saa 24 kwakuwa uwekezaji huu ni lazima urejeshe fedha ambazo serikali imewekeza ” alisisitiza Mhe. Prof. Mbarawa.

Aidha Mhe. Prof. Mbarawa aliwaasa wafanyakazi waliopata fursa ya kusimamia na kuendesha treni wafuate kanuni na taratibu ili kuweka ufanisi wa kazi na kuepusha kutokea kwa ajali.

“Kanuni za uendeshaji pekee ndio zitatupa usalama wa treni zetu na tukifuata hivyo hakutakuwa na ajali sababu ya kufuata miongozo na reli itadumu muda mrefu” aliongezea Mhe. Prof. Mbarawa.

Usafiri wa reli yenye kiwango cha mataifa umeleta mapinduzi makubwa ya usafirishaji kwa kuendelea kutoa huduma bora nchini.
JamiiForums si imefungiwa Tanzania? Au mnaripoti mubashaara kutokea Burundi? 😁
 
Tunasubiri TCRA nao walete Uzi hapa Kwa kutumia VPN 🤣
Kama unaitakia mema Tanzania huwezi kupuuzia tahadhari aliyoitoa Max Melo juu ya kuzuia raia kutoa maoni wakati akihojiwa na Chanzo. Matokeo ya kubinya habari wameyapata kwa Larry!
 
Mafisadi wanaanzia mbali. So far TRC SGR section inafanya vizuri sana. Inaingiza hela za kutosha.(Huwezi kuziona wala kusikia,utasikia hasara tu). Hapo wataleta muendeshaji mwingine na treni zake halafu wanaanza kuiendesha TRC hovyo inajifia biashara inabaki kwa mwekezajibtu.
 
Back
Top Bottom