Yeye ndo anawapa maneno ya kusema.Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
Wao ndiyo nafuu ukilinganisha na yeye.Ila huyu mama ndio kusema haoni au?? Mbona kazungukwa na watu wajinga mnoo na wapumbavu kupita kiasi namna hii??
Dah mwanangu🤔🤔 au kimada wako ndio anachezea simu ?Lissu anastahili atandewe haki yake kisheria , mahakama isipotoa hukumu ya kumnyonga itakua imemdhulumu Lissu haki yake
Neno kuknukisha halipo kwenye kamusi ya Kiswahili na si lugha ya kushika bunduki na waasi ni Lugha ya kupaza sauti kudai haki, Mahakamaccm hawana sahemu ya kumtia hatiani , hawezi kufungwa kamweLissu anastahili atandewe haki yake kisheria , mahakama isipotoa hukumu ya kumnyonga itakua imemdhulumu Lissu haki yake
Wenye ccm yao akina majaliwa Bashiru Nape Makamba na wenzao wanatuma chawaccm wamchochee afanye mambo ya hovyo jamii izidi kumchukia kisha wapate kisingizio cha kumwengua kwenye mbio za UraisMi nafurahi ninavoona bado yupo kwenye upofu mzito,,,,na iendee hivi hivi.....ili siku akija kufumbua macho akute amechelewa saaaanaaaaa
Chawaccm ni ibirisi watupu wao hunufaika kwa kuwatesa chademaTatizo waliomzunguka hamna hata mmoja wa kumwambia ukweli
Wenye ccm yao wana mpango wa kutekeleza Utabiri wa shekhe YahyaHana amani hapo alipo, na kama angelijua mambo yatakuwa hivi bac hata huo urais angeachana nao.
Tunasubiri - kuna harufu naiona ya the hegi inamvisia mtu.
Kauli hizo si SALAMAKitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
britanicca mbona hilo dogo sana. Unakumbuka yule aliyesema viongozi wazuri hawafi! Maana yake wao ni viongozi wazuri will never die. Ila hatukukaa sana Mbobezi akafa. Na hakuwahi kukemea.Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
Na kwa bahati mbaya vyote hivyo hana na sijui kama anajua kuwa rais anatakiwa awe na hayo mambo matatu1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Duh..., Nimecheka sana,Pumbavu sana condom ingezuia haya kwa mama yako
Ushamaliza ya kisiwani?Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
Kumnyonga ni kumpa sifa zisizo zakeWrite your reply...lissu akipatikana na hatia anyongwe haraka siku hiyo hiyo ya hukumu