Ni matokeo ya mimba iliyotungwa kwenye mkesha wa mwenge.Huu ujinga ulizaliwa nao au ulijifunza ukubwani ?
Ui
Huyo ni sadistLakin uka-smile
Ndege wafananao huruka pamoja, usishangae mkuu!!.Ila huyu mama ndio kusema haoni au?? Mbona kazungukwa na watu wajinga mnoo na wapumbavu kupita kiasi namna hii??
Kwani mwenge una shida gani mkuu ?Ni matokeo ya mimba iliyotungwa kwenye mkesha wa mwenge.
Very strange..hiv mtu anakosaje kuchagua company yake? Au ndio kusema kila kitu anapangiwa?Ndege wafananao huruka pamoja, usishangae mkuu!!.
Do not waste your time to advice stupid peopleKitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
Ni kuwa bimkubwa wake alilewa kwenye mkesha wa mwenge wahuni wakapiga mtungo ndiyo mimba ikatungwa sasa kuna mtu tena hapo?Kwani mwenge una shida gani mkuu ?
Nadhani ni kukosa maadili tu
Berizeburi
Unajua mkuu kwa katiba yetu yafaa rais tunayekuwa naye awe na akili extra (inteligent)...akiwa na akili za kawaida ni rahisi kuwa manipuleted na watu waliomzunguka kwasabb wanafaidika wao!.Very strange..hiv mtu anakosaje kuchagua company yake? Au ndio kusema kila kitu anapangiwa?
Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
[/QUOTE
Fanya yako mzee
Tena ni aina ya wale sugu wanatembea wamevaa g-strings na high heels tu bila vazi lingine.LGBTQ ..!
Hasara kwa taifaNi kuwa bimkubwa wake alilewa kwenye mkesha wa mwenge wahuni wakapiga mtungo ndiyo mimba ikatungwa sasa kuna mtu tena hapo?
Aaaah, hebu na nyie msituchoshe bwana! Mjue na watu kushauri! Huo uwezo wa kung'amua kwamba hili ni baya na hili liko sawa ameutoa wapi? Hiyo akili jamani hana mtakuwa mnamwonea tu!Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
Mda mwalimu mkuu , ipo siku tutalia wote kila mmoja kwa namna yakeKitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni fursa ya kuchukua sifa kwa kutamka kwamba angalau tusimnyonge mtu bila ushahidi, Lakin uka-smile
Hatujakaa Sawa ukaona kijana wa UVCCM anasema Lissu apotezwe maana watanzania wapo 63M hivyo kumnyonga Lissu haipunguzi lolote
Kauli hizo si SALAMA
Britanicca
PumbavuMuhaini hatakiwi anyongwe haraka anatakiwa akae mahabusu muda mrefu kwanza ili iwe funzo kwa wengine
Lissu anastahili atandewe haki yake kisheria , mahakama isipotoa hukumu ya kumnyonga itakua imemdhulumu Lissu haki yake