Rais Samia Unadanganywa!

Rais Samia Unadanganywa!

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,191
Reaction score
41,698
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!

Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia

Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !

Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD

JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!

Britanicca
 
Hivi Tangu lini amekuwa akielezwa ukweli?

Watu wanatafuta vyeo vya uteuzi, kwa hiyo hawataweza kumwambia ukweli ambao pengine utamkwaza Mteuaji, badala yake watamwambia yale maneno ambayo yatamfurahisha Mteuaji hata kama maneno hayo ni ya uwongo.
 
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!

Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia

Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !

Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD

JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!

Britanicca
Mbona mnashupalia kua anadanganywa??? Nyie hamuamin kama samia ndo anatuma watu waue wapinzani wake?! Is Samia an Angel kwamba tuseme anadanganywa yeye hawezi agiza watu wafanye vile?!
 
Nafikiri maana yake ni kuwa wanamdanganya na kumtisha ili akubaliane nao kuwa njia pekee ya kudeal na hao wabaya wake ni kuwateka na kuwaua.
 
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!

Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia

Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !

Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD

JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!

Britanicca
Ukiandika hizo nondo yenye vitu hivyo utapeli, ujambazi, wizi na uuaji nitag na mods wakae kizalendo zaidi
 
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!

Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia

Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !

Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD

JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!

Britanicca
UNAPOTEZA MUDA WAKO BURE KUSHAURI WAPUMBAVU MAY BE YOUR ONE OF THEM
 
Mbona mnashupalia kua anadanganywa??? Nyie hamuamin kama samia ndo anatuma watu waue wapinzani wake?! Is Samia an Angel kwamba tuseme anadanganywa yeye hawezi agiza watu wafanye vile?!
Una hoja vipi kuhusu kesi ya ugaidi ya Mbowe alidanganywa huyo Bibi Hassan abebe mzigo wake kwa kadri ya Mungu wake , shetani wake na akili zake hamna kisingizio amejawa na ulafi wakati anapaswa kuondoka next year afuate katiba CCM ilimpa 10 years aondoke
 
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!

Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia

Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !

Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD

JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!

Britanicca
 
Attachments

  • 1726689592442.png
    1726689592442.png
    774.2 KB · Views: 10
Back
Top Bottom