Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,320
- 30,920
ni muhimu na vizuri sana ndugu Rais na kipenzi cha waTanzania wote, comrade Dr.Samia Suluhu HassanRais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
ni vizuri zaid ukawabana mbavu hapo hapo, shikilia hapo hapo. wanaanza kusema pole pole. hapo ni kukaza tu kidogo wanaelekea kufunguka mh.Rais..
usipepese macho, usimuonee aibu wala haya Taifa au mtu yeyote yule anaeleta kimbelembele cha kuchezea Umoja ,amani na utulivu wa wananchi na waTanzania wote. Tunakwenda vizuri sana 🐒