imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,036
Ulanzi wa Taifa kwanza
Ulanzi wa Taifa kwanza
Sawa, nakubaliana pia na wewe, na ukitazama kwa jicho la tatu, utaona kuwa Mama hapendi na hataki mambo ya one man show,Hongera Kigogo
Mapendekezo tuliyonayo ni msahafu mzimaMkiulizwa mnataka nini lwenye katiba mpya hamjui...
Mkoulizwa katiba hii ina tatizo gani hamjui, mtasema tu tundu lissu kasema
Mmeanza. Hamna dogo. Sifa tele hata kwa kutimiza wajibu wake.Huyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Kwa mujibu wa Mama si kuwa hajui kama hayo unayoyaswma hayapo/hayakuwepo la! Anajua na ndio akaleta hiyo kauli, sasa leo ndio kaanza Speech rasmi,sAWA KIONGOZI YALIYOPIOTA SI NDWELE. lakini kwa walioumizwa ni ndwele.... UNADHANI FAMILIA ZA WALIOFKWA NA MAJANGA HAWATAONA NI NDWELE? Mama ana kazi kubwa ya kurudisha umoja wa kitaifa...
Shida wasifiaji mnasifia asa if siku 100 za kawaida kutathmini simefika... Tutulie tu tuone...Kwa mujibu wa Mama si kuwa hajui kama hayo unayoyaswma hayapo/hayakuwepo la! Anajua na ndio akaleta hiyo kauli, sasa leo ndio kaanza Speech rasmi,
Na sisi tunatakiwa kujiongeza na kumsaidia japo itamchukua muda kuweka nchi katika utulivu lakini hilo kama tuna NIA njema mbona ni rahisi?
We ulikua muimba mapambio for so long chief,chini ya carpet kumbe kuna uozo wa kutisha.Mama ni moto.
Mama Samia mwendo ni uleule.
Hahahahahahahahahahahaha.........
Umeanza kusifia hadi kuvuka mipaka.
Ila hata mimi tangu aondoke kikwete sijawahi kujisikia amani kwenye moyo.
Ila nahisi kujisikia aman sasa.
Hujui siasa za Bongo wewe,Lowasa,Sumaye mliwaita mafisadi walipokuja CDM walikua malaika watakatifu.walipoondoka mkaimba tena wimbo uleule,na kwa Nyarandu ni hivyo.We ulikua muimba mapambio for so long chief,chini ya carpet kumbe kuna uozo wa kutisha.
Kwa jicho la kiroho hii kauli imebeba ujumbe mzito sana ...kuna deep overhaul inakuja...(hifadhi hii reply)Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .
Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.
View attachment 1736512
Yule mtu ni hatari alishajua kakoko anang'olewa tangu jana
Hata mimi aseeHahahahahahahahahahahaha.........
Umeanza kusifia hadi kuvuka mipaka.
Ila hata mimi tangu aondoke kikwete sijawahi kujisikia amani kwenye moyo.
Ila nahisi kujisikia aman sasa.
Huyu mama ana hofu ya MunguSawa, nakubaliana pia na wewe, na ukitazama kwa jicho la tatu, utaona kuwa Mama hapendi na hataki mambo ya one man show,
Anataka mfumo ndio utawale na mambo ya kuogopana hapana, bali uwajibikaji na uwajibishwaji
Kifupi hataki mambo ya "nimekuteua, yani kama nimekupa ka zawadi hivyo, nisujudie hapana.
Usikufuru uliongea na Mungu?Huyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Na JPM mlisema hivo hivoHuyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Kigogo apewe ulinziHaya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .
Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.
View attachment 1736512