Rais Samia Suluhu: Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi na watoa taarifa

Sina tatizo na hilo... Mama kafanya jema, tena sana KWENYE HILI... Na ninasifu pale alipoisema (kama ilivyonukuliwa na wasafi) kwamba watoa taarifa walindwe...

Siku za nyuma, watoa taarifa, na hasa wapinzani, walikuwa wanawindwa haswa..

Haiwezekaniki kabisa kuwalinda watoa taarifa sasa hivi unless wafanye amendments kwanza kwenye Cybercrime Act! Je mmesahau kesi ya maxence mello pale kisutu akaishia kukutwa na hatia?
 
Back
Top Bottom