King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,330 Reaction score 88,488 Mar 31, 2021 #81 Tall Guy fam said: Kwa hili baraza jipya Mama kazingua Click to expand... Bado ana wenge la cheo cha urais ,ngoja astabilize kwanza akae kwenye equilibrium ndipo ataanza kufanya maamuzi mazuri.
Tall Guy fam said: Kwa hili baraza jipya Mama kazingua Click to expand... Bado ana wenge la cheo cha urais ,ngoja astabilize kwanza akae kwenye equilibrium ndipo ataanza kufanya maamuzi mazuri.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,665 Mar 31, 2021 #82 Mbona watu wanamponda Mwigulu hivyo lakini kapata shavu tena.?
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,638 Reaction score 5,520 Mar 31, 2021 #83 Kinuju said: Dorothy Gwajima anaendelea kuwanyoosha wezi wa dawa. Click to expand... Your browser is not able to display this video.
Kinuju said: Dorothy Gwajima anaendelea kuwanyoosha wezi wa dawa. Click to expand... Your browser is not able to display this video.
Roy Logan JF-Expert Member Joined Jan 22, 2021 Posts 849 Reaction score 3,410 Mar 31, 2021 #84 OKW BOBAN SUNZU said: Bashiru? Click to expand... Bashiru anaenda kubishana na Msukuma Bungeni.
I Ikombabhuki Member Joined Jan 17, 2021 Posts 97 Reaction score 240 Mar 31, 2021 #85 Upuuzi wa kiwango cha sgr, non sense! Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 31, 2021 #86 OKW BOBAN SUNZU said: Bashiru? Click to expand... Mbunge wa viti maalum
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,665 Mar 31, 2021 #87 OKW BOBAN SUNZU said: Bashiru? Click to expand... Mbunge wa kuteuliwa.
M mcndomba maprosoo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2013 Posts 225 Reaction score 94 Mar 31, 2021 #88 kazi inaendelea
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 31, 2021 #89 Sky Eclat said: Kule mambo ya Nje Kabudi alikupenda sana Click to expand... Alikuwa anacheza na maduhuri ya safari
Sky Eclat said: Kule mambo ya Nje Kabudi alikupenda sana Click to expand... Alikuwa anacheza na maduhuri ya safari
C chabusalu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 8,084 Reaction score 5,212 Mar 31, 2021 #90 luangalila said: Uteuzi wa Nchemba personal he is not ideal candidate, kwa mambo ya nje kumtoa Prof pale ni vizuri zaidi OR-TAMISEMI mama angemteua Dkt.Gwajima .D . Angeenda kuwachezesha mchaka mchaka Click to expand... DK GWAJIMA ALISTAHILI KUTUPWA NJE YA BARAZA, SEMA MAMA ANA MOOD NA WANAWAKE WENZAKE
luangalila said: Uteuzi wa Nchemba personal he is not ideal candidate, kwa mambo ya nje kumtoa Prof pale ni vizuri zaidi OR-TAMISEMI mama angemteua Dkt.Gwajima .D . Angeenda kuwachezesha mchaka mchaka Click to expand... DK GWAJIMA ALISTAHILI KUTUPWA NJE YA BARAZA, SEMA MAMA ANA MOOD NA WANAWAKE WENZAKE
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 31, 2021 #91 Josh J said: Huyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi. Click to expand... Ndiyo dawa ya mtu asiyekubalika
Josh J said: Huyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi. Click to expand... Ndiyo dawa ya mtu asiyekubalika
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,194 Mar 31, 2021 #92 Mmh mwigulu
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,901 Mar 31, 2021 #93 storyteller said: Ivi ashawah kupokea hata mshahara wa ukatibu? Click to expand... Atakuwa kapokea mmoja.....
storyteller said: Ivi ashawah kupokea hata mshahara wa ukatibu? Click to expand... Atakuwa kapokea mmoja.....
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,234 Mar 31, 2021 #94 Vladimir Lenin said: Mama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale.. Click to expand... Duuh!
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,201 Reaction score 6,777 Mar 31, 2021 #95 Acha ujinga basi wewe .. Huu sio wakat wa kuwaza mambo za dinidini.. Wapi umesikia serikali ina dini..? Kukurupuka kwako kuleta Uzi ni ushamba tu wa kutaka ujulikane kuwa nawe upo updated ukifuatilia yaliyokuwa yanajiri Chamwino.
Acha ujinga basi wewe .. Huu sio wakat wa kuwaza mambo za dinidini.. Wapi umesikia serikali ina dini..? Kukurupuka kwako kuleta Uzi ni ushamba tu wa kutaka ujulikane kuwa nawe upo updated ukifuatilia yaliyokuwa yanajiri Chamwino.
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,990 Reaction score 34,837 Mar 31, 2021 #96 Bashiru ni demotion kiboko .... ubunge viti maalum
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,901 Mar 31, 2021 #97 Pengine Dr Bashiru akarudishwa kwenye chama? Kama KM?
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,151 Reaction score 18,751 Mar 31, 2021 #98 Vladimir Lenin said: Mama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale.. Click to expand... Tulieni dawa iingie, Mzee Mwanakijiji alishawapa angalizo mapema
Vladimir Lenin said: Mama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale.. Click to expand... Tulieni dawa iingie, Mzee Mwanakijiji alishawapa angalizo mapema
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,068 Reaction score 16,380 Mar 31, 2021 #99 Judi wa Kishua said: zingekuwa kweli asingepewa ubunge. uwe na akili Click to expand... Sasa kwanini katolewa na hata miezi miwili hajamaliza.
Judi wa Kishua said: zingekuwa kweli asingepewa ubunge. uwe na akili Click to expand... Sasa kwanini katolewa na hata miezi miwili hajamaliza.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 31, 2021 #100 Waterloo said: Bashiru ndio atakuwa Katibu Mkuu kiongozi aliyekaa kwa muda mfupi sana katika historia ya nchi yetu so far Click to expand... Kapokea mshahara mwezi mmoja tu wakati alishafanya shopping ya kufa mtu akijiandaa kwa maisha ya ikulu
Waterloo said: Bashiru ndio atakuwa Katibu Mkuu kiongozi aliyekaa kwa muda mfupi sana katika historia ya nchi yetu so far Click to expand... Kapokea mshahara mwezi mmoja tu wakati alishafanya shopping ya kufa mtu akijiandaa kwa maisha ya ikulu