Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 8,996 Reaction score 6,921 Sep 19, 2021 #761 kalonji said: Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao Click to expand... Ilienda wapi? Walikamiliasha mradi gani?
kalonji said: Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao Click to expand... Ilienda wapi? Walikamiliasha mradi gani?
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,220 Reaction score 5,888 Sep 19, 2021 #762 Wasukuma bado tu hamjashtuka hii nchi imerudi kwa watanzania. Mambo ya upendeleo yalishapitwa! Maana mlishajiona miungu watu! Ila.ashukuruwe sana Mungu wa Mbinguni aliyetuepusha na hili janga! Baba shukrani zijae kwako tele, na utukufu ukurudie wewe mwenyewe!!
Wasukuma bado tu hamjashtuka hii nchi imerudi kwa watanzania. Mambo ya upendeleo yalishapitwa! Maana mlishajiona miungu watu! Ila.ashukuruwe sana Mungu wa Mbinguni aliyetuepusha na hili janga! Baba shukrani zijae kwako tele, na utukufu ukurudie wewe mwenyewe!!
P Pagan Amum JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 1,930 Reaction score 4,407 Sep 19, 2021 #763 Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.
Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,494 Reaction score 57,869 Sep 19, 2021 #764 Nazgur said: Mbona bandali imesimama Click to expand... Bandari ipi imesimama?
Nazgur JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3,724 Reaction score 2,854 Sep 19, 2021 #765 Lord denning said: Bandari ipi imesimama? Click to expand... Ya mtwara pesa hakuna.
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,494 Reaction score 57,869 Sep 19, 2021 #766 Nazgur said: Ya mtwara pesa hakuna. Click to expand... Weka ushahidi
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,738 Aug 2, 2022 #767 King Kong III said: Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo. Click to expand... JF never boring Erythrocyte
King Kong III said: Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo. Click to expand... JF never boring Erythrocyte
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 Aug 2, 2022 #768 Pagan Amum said: Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi. Click to expand... Shujaa wa Afrika anajulikana ni Gadafi tu.
Pagan Amum said: Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi. Click to expand... Shujaa wa Afrika anajulikana ni Gadafi tu.
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,191 Reaction score 8,393 Oct 3, 2022 #769 Sawa