Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo.
ummy mwalimu fungua uhamisho kwa watumishi wa umma maana jafo alisahau kuwa hilo nalo ni sehemu ya majukumu yake machozi ya wafanyakazi hayajamwagika bure.
Anatosha na zaid, alishiriki hata kuandaa budget na mpango wa maendeleo wa mwaka huu wakati mh.mpango alipokua na ufhuru wa kiafya..
Anafaa na anaijua wizara