FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,942
- 109,362
Picha ya Rais inahutubia bunge la Zambia, usisahau hilo.Nami nasema...usifananishe picha ya rais na Nyerere
Picha ya Rais inahutubia bunge la Zambia, usisahau hilo.Nami nasema...usifananishe picha ya rais na Nyerere
Dah wewe ni noma utamaliza DamuRAIS SAMIA, NYERERE WA PILI.
Rais wetu Dkt Samia amelihutubia Bunge la Zambia leo baada ya kuoombwa ziara ya kuwa Mgeni Rasmi wa Siku ya Uhuru wa Nchi hiyo ya Zambia ambayo ndiye Mteja Mkuu wa Bandari yetu ya Dar es Salaam inayoenda kufanyiwa Mapinduzi ya kiufanisi na DP World ya Dubai.
Nafurahi kuona tuna Rais anayevaa viatu vya Mwasisi Mwl Nyerere kwa vitendo kwa kuimarisha kwa kasi mahusiano na Mashirikiano na mataifa.
Akiwa katika ziara ya Siku 3 nchini humo, Rais Samia amesisitiza Umoja baina ya nchi za Afrika na undugu wa Kiuchumi ambapo akiwa na Mwenyeji wake, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameongoza makubaliano ya kuanzishwa bomba jipya la gesi kutoka Dar es Salaam hadi Zambia, kuboresha bomba la Mafuta la TAZAMA na reli ya TAZARA ambayo vyote hivi ni miradi tegemewa na wananchi wa hali ya chini wa Zambia na Tanzania.
Kwa upande mwingine, Rais wetu ametoa kipande cha ardhi cha hekta 20 katika Bandari kavu eneo la Kwala mkoani Pwani kama zawadi ya Watanzania kwa Wazambia kama sehemu ya kuenzi Upendo baina ya nchi hizi mbili ulioundwa na waasisi wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Kaunda.
Ziara hizi lukuki za Rais wetu katika mataifa ya nje zinazidi kuifanya Nchi yetu sasa kurejesha heshima yake ya kihistoria iliyokuwa nayo ya kuwa nchi Darasa duniani la kupanda Upendo baina ya nchi na nchi na kufungua fursa adhimu za kiuchumi hususani baina ya Tanzania na nchi za Kiafrika.
Katika Urais wa Mama Samia hakika naiona Tanzania mpya tegemewa ya kutatua migogoro kwa njia ya meza za mazungumzo baina ya nchi za Afrika zinazohasimiana na hata kufuta vita vinavyooendelea vya baadhi ya Serikali za nchi za Afrika na Vikundi vya waasi.
Mungu mbariki Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Suphian Juma Nkuwi,
Simu: 0717027973View attachment 2792760
HAta Wazambia wanalijua hilo.Picha ya Rais inahutubia bunge la Zambia, usisahau hilo.
Hili jamaa jinga sanaAtatuambia ni hormones tu.
Huyu ni kunguni kabisaNimekimbilia kuangalia jina la mwandishi nikidhani kuwa atakuwa ni komredi Lucas Mwashambwa kumbe safari hii ni chawa mpya. Kazi ipo wallahi!
Ndiyo huyu?Apumzike kwa amaniHasara nyingine hiiView attachment 2792812View attachment 2792814
Huko Kwala nafikiri Rwanda walipewa kipande zama za JPM pia.Sijaelewa kuhusu kipande Cha ardhi ya bara sio zenji kilichotolewa kama Zawadi maana Sheria ya Ardhi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi ya bongo!
Uchawa ni hatua inayokuja automatic njaa inapozidi! Mtu yoyote anaweza kujikuta Kawa chawa mkuu kulinda tumbo!!
Biden anahusiana nini na Zambia?HAta Wazambia wanalijua hilo.
Biden alimkwepa kabisa
Pumbavu zakoRais wetu Dkt Samia amelihutubia Bunge la Zambia leo baada ya kuoombwa ziara ya kuwa Mgeni Rasmi wa Siku ya Uhuru wa Nchi hiyo ya Zambia ambayo ndiye Mteja Mkuu wa Bandari yetu ya Dar es Salaam inayoenda kufanyiwa Mapinduzi ya kiufanisi na DP World ya Dubai.
Nafurahi kuona tuna Rais anayevaa viatu vya Mwasisi Mwl Nyerere kwa vitendo kwa kuimarisha kwa kasi mahusiano na Mashirikiano na mataifa.
Akiwa katika ziara ya Siku 3 nchini humo, Rais Samia amesisitiza Umoja baina ya nchi za Afrika na undugu wa Kiuchumi ambapo akiwa na Mwenyeji wake, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameongoza makubaliano ya kuanzishwa bomba jipya la gesi kutoka Dar es Salaam hadi Zambia, kuboresha bomba la Mafuta la TAZAMA na reli ya TAZARA ambayo vyote hivi ni miradi tegemewa na wananchi wa hali ya chini wa Zambia na Tanzania.
Kwa upande mwingine, Rais wetu ametoa kipande cha ardhi cha hekta 20 katika Bandari kavu eneo la Kwala mkoani Pwani kama zawadi ya Watanzania kwa Wazambia kama sehemu ya kuenzi Upendo baina ya nchi hizi mbili ulioundwa na waasisi wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Kaunda.
Ziara hizi lukuki za Rais wetu katika mataifa ya nje zinazidi kuifanya Nchi yetu sasa kurejesha heshima yake ya kihistoria iliyokuwa nayo ya kuwa nchi Darasa duniani la kupanda Upendo baina ya nchi na nchi na kufungua fursa adhimu za kiuchumi hususani baina ya Tanzania na nchi za Kiafrika.
Katika Urais wa Mama Samia hakika naiona Tanzania mpya tegemewa ya kutatua migogoro kwa njia ya meza za mazungumzo baina ya nchi za Afrika zinazohasimiana na hata kufuta vita vinavyooendelea vya baadhi ya Serikali za nchi za Afrika na Vikundi vya waasi.
Mungu mbariki Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Suphian Juma Nkuwi,
Simu: 0717027973
View attachment 2792760
Singida ukimtoa Lissu ina watu wajinga sn na wavivu, pale mtama, mahindi, alzeti, korosho na ufuta vina kubali sn lakini wanyiramba hawataki kufanya kazi zaidi ya kujipendekeza wapate teuzi. Ndiyo maana mkoa ni wa kwanza kwa umasikini TanzaniaSuphian Juma. Hii account ni yako au kuna mtu anaiga brand yako iliyokupa umaarufu Twitter 😁
Ila una moyo mkuu maana umejizima data hadi wanaotakiwa kukupa teuzi wameshtuka
Ana biashara yake huijui? hapo anatafuta watejaHakikisha simu yako haizimi, utalamba uteuzi ukasaidiane na Makonda
Wazambia hawamtaki mtu bali wanataka urahisi wa kupitisha bidhaa zao hotel, ona walivyotupiga bao wamepewa hadi HEKARI 20 BUREEBiden anahusiana nini na Zambia?
Kumbuka kuwa Wazambia hawakuona Marais wote wa Afrika kuwa wanatosha kuwa wageni rasmi wa sherehe zao uhuru isipokuwa mama Samia.
Mama Samia ni chaguo la Mwenyezi Mungu na tunu kubwa, isiyo mfano kwa Tanzania.