Rais Samia ni kama Nyerere kimataifa

RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA

====

Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa.

Mhe Kafulila amesema hayo leo kwenye mkutano wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Comrade Chongolo wilayani Maswa kwa ziara ya siku4 mkoani Simiyu.

" Tanzania kihistoria ni Taifa kubwa.sio la kutazama ndani (inwardlooking) au kujitazama lenyewe.

Ni ' Internationalist', limejengwa hivyo tangu zama za Mwl. Nyerere na itaendelea kuwa hivyo, na nilazima kulinda heshima hiyo kizazi hadi kizazi.

Wanaosoma na kufuatilia wanajua, Sisi tulikuwa moja ya mataifa machache kabisa Afrika ambayo iwe Ulaya au Amerika haiwezi kufikiria kufanya jambo lolote kwa Afrika bila kushirikishwa.

Hii ni heshima Mwl. Nyerere aliijenga na Rais Samia anaitafuta, anairejesha, hatupaswi kujidogosha". Alihitimisha Kafulil

View attachment 2246563
Mafii yanatokana na chakula, ...ila uwezi kufananisha mafii na chakula hata siku moja labda uwe zuzu kama mleta mada....ndiyo maana Hadija kopa alisema kuna kuzaa na kunya .......Nyerere alizaliwa usimfananishe na mafiii
 
Kuna raisi mmoja aliwahi kusema ukiona wazungu wanakufagilia saana jua kuna jambo ambalo umewafanyia

Sasa kwa huyu Samia muda utaongeya tu
 
Back
Top Bottom