Ni Covid inazunguka Sana Kama una immune ndogo mwilini jiangaliye Sana uwe unatumia limao, tangawizi etc. Africa ukifa lazima wachawi wawepo. Mbona JPM mlisema ni Covid wengine wakasema kapigwa na wenye uchu wa kukwapua mali za wananchi.Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Usitumiye lugha ya dhihaka, huyo ni binadamu Kama babu zako na bibi zako waliotangulia mbele ya haki. Wote tutakufa kwa staili mbalimbali. Ni muda tu na wewe utakuwa mzoga. Tujifunze kuwa wanyenyekevu kwani wote tuko njia moja, ulipozaliwa siku zako zinaanza kupungua hivyo umebakiza siku chache Sana hazizidi siku 15,000. Watanzania wengi wanaishi siku 1-30,000 hapa duniani wewe zimebaki ngapi kiwango Cha juu kabisa.Wahi Karimjee kesho ukaage mzoga.
Membe, Kikwete, Lowassa na wanamtandao wengine wamefanya madhambi mengi sana kuelekea ikulu 2005.Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Naitunza hii mesejiNchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
Acha wararuane tuujue ukweliJamani, hebu acheni kwanza tumpumzishe salama mzee wetu Bernard Membe
Hakuondolewa na binadamu..Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha .
Mbuyu wa Msoga ukianguka, Nitachinja Ng'ombe kituo Fulani Cha watoto yatima, tule, tusherekee.
Hawa wahuni Hawa, walimuondoa JPM.
2005 alikuwa awe Salim A Salim hilo group including Rostam Azizi wakatunga uwongo kwamba Salim siyo mtanzania, na mengine mengi. Kweli nchi ilirudi nyuma sana 2005-2015 ni wastage ambayo nchi haiwezi recover.Membe,Kikwete, Lowassa na wanamtandao wengine wamefanya madhambi mengi sana kuelekea ikulu 2005.
Its just a matter of time kila mtu atalipwa kwa namna na muda wake.
Ndo nini hiiMengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Uchonganishi ni dhambi....Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
[emoji849][emoji849][emoji849]Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha .
Mbuyu wa Msoga ukianguka, Nitachinja Ng'ombe kituo Fulani Cha watoto yatima, tule, tusherekee.
Hawa wahuni Hawa, walimuondoa JPM.
Kumekuchaaaaaaaaa!!!!Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
[emoji15][emoji15]
[emoji106]Jamani, hebu acheni kwanza tumpumzishe salama mzee wetu Bernard Membe
Nani ni nani???Watoto wa mjini Vs Watoto wa bush
Kwani ulikuwa hujui eee, utasikia mke kasababisha kwa maliMaskini tukifa tunafukiwa.
Matajiri wakifa zinatafutwa sababu.
Mkuu kifo hupangwa na mungu , unajua kati ya wewe na yeye nani atakayetangulia ,Kwamba kuwashugghulikia Sisi Sukuma Gang, ni mpaka 2025??.
Nchi yenu, Vyombo Dola Vyenu.
Si mlisema Wazuri Hawafi?.
Hamuwezi kumuondoa JPM, nyie Mbaki mnakula Mema ya Nchi.
Bado , Bado, Nchi hii akishaondoka wa Msoga, Uhuru huo umepatikana.