MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,679
- 6,475
Mataga banaHivi wewe unachuki gani na Magufuli? Unawezaje kumtofautisha Magufuli na Mh. Samia ambaye ndiye alikuwa mshauri wake wa karibu ambapo kila kitu walipanga na kusimamia pamoja? Unafiki huu ni gharama kubwa sana. Unataka achague wataalam kwa maneno ya Insta, maneno yanayoandikwa na watu wasio na uelewa hata wa maisha yao wenyewe? You are not Serious.
Kama una kampeni zako, zifanye bila kumshirkikisha Mh. Magufli ambaye amekuwa rais wa pekee na mwenye kuona mbali na ambaye dunia nzima wana mtamani.
Ni rais agani katika waliotangulia ambaye alifanya mambo makubwa na kurejesha heshima ya Serikali kwa muda mfupi namna hii hata katika tawala zao za miaka kumi kumi? Kama kuna matatizo ya wawtendaji wake, please ujue kwamba alijitahidi kudhibiti mengi. Na hata hivyo, upungufu wake usifute mema makubwa na zaidi ya nia yake safi aliyokuwa nayo kwa taifa. Ni kichaa pekee ndiye atamlinganisha Magufuli na Awamu ya nne.