Rais Samia, Mwigulu hakufai. Watanzania wanamjua Kiongozi anayefaa

Semahengere

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
286
500
Huu ni ukweli usiopingika
Namkumbuka sana Mwiguru kwenye ile miili ilikutwa kwenye viroba mtoni
Majibu yake kama Waziri aliyekuwa mwenye dhamana yaliniogopesha sana
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,331
2,000
Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.
mussa assad alikuwa anaula,kiherehere cha kuanza kubwabwaja baada ya mwendazake kuondoka kikamharibia.

sifa kuu ya mtu mchapakazi huwa halalamiki sana.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,555
2,000
mussa assad alikuwa anaula,kiherehere cha kuanza kubwabwaja baada ya mwendazake kuondoka kikamharibia.

sifa kuu ya mtu mchapakazi huwa halalamiki sana.
Mussa Assad harembi wala huwa haumiumi maneno,sio caliba ya Makada wenu ambao njaa inawasumbua
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,331
2,000
Mussa Assad harembi wala huwa haumiumi maneno,sio caliba ya Makada wenu ambao njaa inawasumbua
angekuwa harembi asingeufyata kipindi jpm yupo,mbona akihojiwa alikuwa hataki kuzungumzia hayo mpaka jamaa alipokufa!!!

kuna mstari mwembamba kati ya mwenye njaa na asad.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,555
2,000
angekuwa harembi asingeufyata kipindi jpm yupo,mbona akihojiwa alikuwa hataki kuzungumzia hayo mpaka jamaa alipokufa!!!
Alitumiwa Wasiojulikana akaambiwa atauwawa kama wenzake waliouwawa na kupotezwa kabisa na hilo jinamizi lililobaki mifupa
 

konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
2,176
2,000
Daa..h..! Ila jamaa mbona saivi yupo safi tu. Msimhukumu kwa yaliyopita, awamubile inajulikana legacy yake jamani. Mwacheni aendeleze kazi.
huyo jamaa ana roho mbaya na haiwezi kubadilika ndo maana alipopata ajali ya kumgonga Punda huko mtera baadhi ya watu akiwemo mimi walimsikitikia punda cha ajabu alipopona akamsifia Magu kwa kumponya
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,331
2,000
Alitumiwa Wasiojulikana akaambiwa atauwawa kama wenzake waliouwawa na kupotezwa kabisa na hilo jinamizi lililobaki mifupa
mwanaharakati haogopi mikwara,ukiona hivyo ujue huyu alikuwa mzee wa fursa tu kama wewe.
 

Lumwago

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
269
500
Mama na magu kiujumla hawakuwa pamoja! Ni ccm tu Ina nguvu iliamua hivyo. Lkn chini ya kapeti mbona tutasikia mama zaidi ya Mara 2 alitaka kuchomoa akina jakaya ndo waliokusitiri wanaokoa jahazi kumrudisha mama. Kiufupi mama na magu hawakuwa pamoja.
Hivi wewe unachuki gani na Magufuli? Unawezaje kumtofautisha Magufuli na Mh. Samia ambaye ndiye alikuwa mshauri wake wa karibu ambapo kila kitu walipanga na kusimamia pamoja? Unafiki huu ni gharama kubwa sana. Unataka achague wataalam kwa maneno ya Insta, maneno yanayoandikwa na watu wasio na uelewa hata wa maisha yao wenyewe? You are not Serious.

Kama una kampeni zako, zifanye bila kumshirkikisha Mh. Magufli ambaye amekuwa rais wa pekee na mwenye kuona mbali na ambaye dunia nzima wana mtamani.

Ni rais agani katika waliotangulia ambaye alifanya mambo makubwa na kurejesha heshima ya Serikali kwa muda mfupi namna hii hata katika tawala zao za miaka kumi kumi? Kama kuna matatizo ya wawtendaji wake, please ujue kwamba alijitahidi kudhibiti mengi. Na hata hivyo, upungufu wake usifute mema makubwa na zaidi ya nia yake safi aliyokuwa nayo kwa taifa. Ni kichaa pekee ndiye atamlinganisha Magufuli na Awamu ya nne.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom