Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 1,812
- 2,281
Funguka ueleweke Mkurugenzi....Umetoka lini miji yenu Herat na Kabul?!!
Funguka ueleweke Mkurugenzi....Umetoka lini miji yenu Herat na Kabul?!!
Ndo iko hivyo mkuu, ndo maana marekani hawawezi kumpa urais mwanamke maana wanajua hawezi kufanya final decisions yeye kama yeye.......Duuuh 😳😳😳🤣 🤣
Mkuu samahani sana kukuona wewe kuwa ni mtu mwenye mfumo dume na "misogynist"......
Well....No, why should i?
Giving opinions should make me one of them? I am a woman. Why should i hate my fellow women.?? And i knew it, when u guve out ur clues some will judge that women dont love their fellow women... i am talking from experience as a woman. We are full of attitudes. We are full of moods. We have mood swings. Is that how a country should be led? Why always talking about ur gender? Where on earth. U were chosen as a president and not a female president. Our katiba dont say that. Ahenis boring. If she is a woma. Then what? Does it scare us? I am a woman too. I have what u have too. She should stop that. Why aggending the gender everyday?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mimi nakukubali sanaa.. Unajua kua mwanamke alafu ukawa na mtazamo wako wa kuthubutu ,kusimama, na kuyaishi maisha ..ndilo jambo pekee la msingi sanaaa.Utafikiri na sisi hatuna mbusus bana my gender my gender my gender...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Aliwezea..kama yeye alivyowambia wale wachezaji...Vifua flatKuna mshkajo wangu fb aliccoment ile picha amevaa maboya akaccoment ni wide chest ama undersize? nikasema pooh huyu mangi sijui
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa wewe ndo hunielewi? Who said its only men? I said nimeongea uhalisia. Na nilijua sisi wanawake tukitoa opinions zetu tuu mutatokea back up team kudai wanawake hatupendani. Inawezekana ni kweli kbs. Lakini sisi tunajijua vyema kuliko nyie other gender. Take it or leave it. Haya madaraka ni makubwa sana kwa mwanamke.Well....
Don't take it personally but misogynist doesn't adhere to males alone..... psychologically a woman can be misogynist too....
Even a woman who thinks that being a woman herself is categorically a low social status is a misogynist too...
Yes. Kwamfano rais mwanaume aanze kuongelea gender yake tu si tutamshangaa. Sasa kila saa mimi mwanamke mimi maimbile yangu this na that as if ni taasisi ya kusutana. Katiba yetu haaitagi rais mwanamke. Inaita Rais and thats all.. periodMimi nakukubali sanaa.. Unajua kua mwanamke alafu ukawa na mtazamo wako wa kuthubutu ,kusimama, na kuyaishi maisha ..ndilo jambo pekee la msingi sanaaa.
Lkn sio kila kitu..mie mama...mie mwanamke...wanawake tupo nyuma ..so what???.
Hata sisi wanaume, tunapenda kuona mwanamke anasimama anaongea vitu ambavyo unaishia kumtafasiri " Binadamu mwenye akili, uthubutu. Kujitambua "
Nmekuonga mkono 100%Sasa wewe ndo hunielewi? Who said its only men? I said nimeongea uhalisia. Na nilijua sisi wanawake tukitoa opinions zetu tuu mutatokea back up team kudai wanawake hatupendani. Inawezekana ni kweli kbs. Lakini sisi tunajijua vyema kuliko nyie other gender. Take it or leave it. Haya madaraka ni makubwa sana kwa mwanamke.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yaan ni balaa tupu....Yes. Kwamfano rais mwanaume aanze kuongelea gender yake tu si tutamshangaa. Sasa kila saa mimi mwanamke mimi maimbile yangu this na that as if ni taasisi ya kusutana. Katiba yetu haaitagi rais mwanamke. Inaita Rais and thats all.. period
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkuu point yangu simaanishi kuwa wanawake hawapendani....na ni kweli kabisa siwezi kuwajua wanawake sana zaidi ya wenyewe.....Sasa wewe ndo hunielewi? Who said its only men? I said nimeongea uhalisia. Na nilijua sisi wanawake tukitoa opinions zetu tuu mutatokea back up team kudai wanawake hatupendani. Inawezekana ni kweli kbs. Lakini sisi tunajijua vyema kuliko nyie other gender. Take it or leave it. Haya madaraka ni makubwa sana kwa mwanamke.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Rais alipoongelea usawa hakumaanisha kuwa wanawake wanaweza kupiga ponchi na kuwa "makomandoo".....Njooni maduarani tupige ponchi, tuone usawa mnaouzungumzia
Wanataka usawa wa madaraka na kazi nyepesi...?Rais alipoongelea usawa hakumaanisha kuwa wanawake wanaweza kupiga ponchi na kuwa "makomandoo".....
Kwani ni wanaume wote wanaweza kupiga ponchi?!!Wanataka usawa wa madaraka na kazi nyepesi...?
Naam Mkuu wangu... huyu Mwanamke miss pablo kasema ukweli halisia, semea watu wanaweza kushikilia hapohapo " adui wa mwanamke ni mwanamke".Haya "surgeon" naona uko kilingeni kabisa mwa "misogyny"...
Aisee😳😃😃😃Usijidai sana Mama sisi wenyewe tuna majukumu mazito tumebeba p...mbu tangu utotoni na hatuchoki ila nyie mimba miez 9 tu leo unatusimanga tu jamani ?
🤣🤣Isije ikawa naye ameathirika na mfumo dume wa "misogynistic"Naam Mkuu wangu... huyu Mwanamke miss pablo kasema ukweli halisia, semea watu wanaweza kushikilia hapohapo " adui wa mwanamke ni mwanamke".
🤣🤣Aisee😳😃😃😃
Acha kutetea ujinga wewe.Mnamtafsiri tofauti na akilengacho....
Kwa mazingira ya nchi yetu na AFRIKA.....anapotokea rais mwanamke ndicho kipindi mahsusi cha yeye kufanya "women empowerment"....hii haina maana ANAWATUKUZA NA KUWAFANYA WANAWAKE KUWA NI BORA ZAIDI YA WANAUME......
Sawa mtaleban...Ccm wametuletea mpinga baibo na korani... Kushnei tena hakuna maendeleo yamaana tutapiga. Hivi mababa yooote sisiemu akili zimeishia hapa kweli? Mnakuwa machawa wa mwanamama? Kichwa cha taifa ni mwanamama?
Natamani kuhama nchi...this is bulishizo manizo