Rais Samia: Mwanamke ana haki sawa na Mwanaume. Wanawake lazima waheshimiwe na kupewa Haki zao!

Mama..!!!!
Halahala hayo madongo unayorusha yanafika mpaka huku,yasije yakatuvunjia vioo vya nyumba zetu.
Lakini wachane
LIVE nasi tuko na weye
 
Mama atulie. Swala la usawa aachane nalo. Achape kazi.

Mwanaume ni kichwa cha mwanamke. This is an eternal truth, & will never change!!!!


YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
Mwanamume ni kichwa cha mwanamke.

Na mwanamke ni shingo ya mwanamume.

Shingo inaweza kukizunguusha kichwa ipendavyo.
 
Huyu mama anaongelea usawa gani hasa?.Au ni hizi nafasi za kisiasa zilizomfanya naye amekua kwenye hiyo nafasi hapo kirahisi rahisi basi anaona ni sawa kujiona yuko sawa na mwanaume.badala awaze namna yakukomboa hao wanawake wenzake kuondokana na umasikini uliokithiri kwenye jamii yeye anaongea mambo yasiyo na uhalisia.Hizi sio zama zakuanza kumlinganisha mwanaume na mwanamke maana hicho nikitu ambacho hakipo.Hizi nafasi zakisiasa zinazotokana nakupiga vigelegele zisitufanye tukatengeneza tatizo kwenye jamii ambalo watakao athirika ni hao hao wanawake.na anatakuwa ajue kua hakunaga kitu kinachoitwa usawa wakijinsia.hizo huwa ni mbwembwe tu zakwenye majukwaa ya siasa ila ukija kwenye uhalisia hakuna hiyo kitu.Tunawaheshimu wanawake na tunawapenda ila kamwe mwanaume hawezi kufanana na mwanamke.Uko nikutaka kumkosea Mungu kwamakusudi nakutukosea wanaume.
 
Mwanamume mwenye KUJIAMINI na MWENYE FIKRA pana anatishwaje na uwepo wa nguvu za mwanamke?!!!

Anatishwaje na nguvu kubwa alizonazo mwanamke kuliko yeye?!!!

Nadhani Wataalamu wa saikolojia waende mbali kutujuza hizi "inferiority complexes" kwa mapana yake.....

I am an ALPHA MALE on my own definition....doesn't necessarily concur with the world's explaination.....

Being an alpha male I am in strong bond with NATURE....why should I worry other human beings whether a woman or a man?!!!Khaaa 😲😲😲 🤣🤣🤣

Binaadamu ukiitambua vyema thamani yako....ukivitambua vyema vipawa vyako na "kumaizi" MAPUNGUFU yako binafsi basi UTAVITHAMINI NA KUVIHESHIMU VIPAWA VYA WENGINE NA MAPUNGUFU YAO PIA......

Kwa hili ninamuunga mkono mh.Rais SSH....💪💪

#AgainstMisogyn
#AgainstAllFormsOfHatred
#AgainstAllFormsOfRacism
#AgainstAllFormsOfBigotry

NOTHING TO FEAR BUT FEAR ITSELF -Franklin D . Roosevelt

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#AdamuNaHawa


YETZER HA-TOV
 
Ahaaa! kumbe mtoto ni wa mama, mbona mnasumbua sana kudai pesa ya matumizi ya mtoto hadi kupelekana kwenye vyombo vya sheria...
😅😅😅😅😅😅 mwanamke hujifanya mwamba kote ila linapokuja swala la hela mpira anamtupia mwanaume na kujidai hilo ni jukumu la kiume. “Mwanaume ndio anatakiwa ku provide” hata biblia imesema atakula kwa jasho.

Ila mengineyo yote wanatakaga haki sawa tu yani
 
Wanawake wa kisasa bwana, Wanataka Haki pasipo kuwajibika. Ila wanasahau ili upate haki stahiki unatakiwa utekeleze majukumu husika.

Wanawake wanataka benefits za kiume ambazo wanaume wanazipata kama haki yao ya kuwa wanaume na kutekeleza majukumu ya kiume.
Ila wakiambiwa sasa kama mnataka haki sawa na wanaume na ninyi sasa ni wakati wa kubeba majukumu ya wanaume bila kutafuta kusifiwa wanala msaada wa mwanaume wala wanawake wenzako wanaanza kulalamika kuwa hawatendewi haki.... haki gani sasa hizo mbuzi nyie lakini?!
Wanawake hudai haki sawa ila swala la hela linapogonga hodi hugeukia maandiko fasta na kujidai “iliandikwa mwanaume atakula kwa jasho” so unatakiwa unihudumie 😅 mbuzi sana
 
Its exhausting honestly..

Mjini humu kuna mwanamke kanyimwa kufanya nini kisa jinsia yake.?

Kuna usawa kwenye mengine yote
Ila sio Ndoa..na kazi ngumu...
Nimemskiliza Maza... Kwa kweli anaelekea kuzidi na hii issue yake ya Gender equality. Kwa Sasa anajaribu kuwaaminisha Watanzania kuwa wanawake walikuwa hawapati appointments kwa sababu gender.

Ameenda mbali akidai kuwa mchango wa mwanaume ni mbegu .... Mengine yote ni Maza. Sidhani kama alitakiwa Kuja na statement kama hiyo. Nafikiri Maza 2025 inamsumbua akili sana......!!
 
I wish you were in the State House instead of this vichokochoko lady. Very well said, Thank you 🙏🏾 so much

Yawezekana wengi tulitamani kupata kiongozi wa juu mwanamke, lakini sio wa aina hii, sio huyu wa kuongelea ukike kila sehemu as if ndio agenda ya nchi.

Anataka kuonesha nje ya ukike hatuna kitu kingine chochote cha kuonesha na kunadi, hopeless.

Halafu kuna kubebana kikike kumejaa, Mtu kama Dorothy Alitakiwa aondolewe ila hajaondolewa sababu itaonekana anakandamiza wa kike wenzake, Doro sio bora zaidi ya wale akina Medadi ila ndio hivyo amebaki. Wanawake tusipotaka fair ground hatutakaa tuendelee. Mpe mtu fair ground apambane sio kumbeba kwa ukike wake.

Na mwanamke awamu hii ukijaribu kukosoa unaambiwa unawaonea wivu wanawake wenzio, kazi tunayo.
 
Kwenye dini tumeelezwa Adam alipolala usingizi ubavu wake ulitumika kutengeneza mwanamke....
ambapo Adam alishaahidiwa msaidizi.....
kwa hivyo cheo cha mwanamke kinakomea kwenye usaidizi tu......
samahani kwa kuwakwaza nimerejea kwenye bible
Umeongea ukweli mtupu mkuu
 
Hivi ile Dini yetu ya Haqi inasema hivyo pia ?

Au ameasi Dini ?
Mashehe na Maimamu wapo kimya.

Shehe wa Mkoa anasemaje ?

Hapa Dini Imakashfiwa Kweupe Kabisa.

Usawa uko wapi wakati sisi Wanaume hatubebi Mimba ?

Nadhani alimaanisha usawa wa Mahitaji ya kila siku.
Hata hivyo sisi hatuhitaji PEDI
na kupaka PODA
 
Mwanamume mwenye KUJIAMINI na MWENYE FIKRA pana anatishwaje na uwepo wa nguvu za mwanamke?!!!

Anatishwaje na nguvu kubwa alizonazo mwanamke kuliko yeye?!!!

Nadhani Wataalamu wa saikolojia waende mbali kutujuza hizi "inferiority complexes" kwa mapana yake.....

I am an ALPHA MALE on my own definition....doesn't necessarily concur with the world's explaination.....

Being an alpha male I am in strong bond with NATURE....why should I worry other human beings whether a woman or a man?!!!Khaaa 😲😲😲 🤣🤣🤣

Binaadamu ukiitambua vyema thamani yako....ukivitambua vyema vipawa vyako na "kumaizi" MAPUNGUFU yako binafsi basi UTAVITHAMINI NA KUVIHESHIMU VIPAWA VYA WENGINE NA MAPUNGUFU YAO PIA......

Kwa hili ninamuunga mkono mh.Rais SSH....💪💪

#AgainstMisogyn
#AgainstAllFormsOfHatred
#AgainstAllFormsOfRacism
#AgainstAllFormsOfBigotry

NOTHING TO FEAR BUT FEAR ITSELF -Franklin D . Roosevelt

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#AdamuNaHawa


YETZER HA-TOV
Umeongea kizembe sana
 
Back
Top Bottom