Rais Samia: Mwanamke ana haki sawa na Mwanaume. Wanawake lazima waheshimiwe na kupewa Haki zao!

Rais Samia amelitaka Kanisa la Anglican kuhakikisha linawasaidia Wanawake kupata haki zao za msingi na yeye Rais atalisimamia hilo na anamuomba askofu mkuu baba Mndolwa amsaidie katika hilo.

Rais amesema Wanawake na wanaume wana haki sawa na ndio maana hata darasani wasichana na wavulana wanachuana kwa ufaulu.

Rais amesisitiza kuwa tofauti pekee iliyopo ni ya kimungu yaani uumbwaji ambapo mwanamke amepewa " Fahari" ya kubeba mimba na kuzaa mtoto kitu ambacho mwanaume hawezi

Ndio maana katika makabila mengine mtoto ni wa mama amesema

Source: Upendo tv!

===================================

“Wanawake ni zaidi ya 50% kwenye nchi hii mkituacha nyuma nchi itaendelea lini na malengo ya kimataifa yanatuambia mtu asiachwe nyuma, sasa mnapowadogosha wanawake, mkawanyima haki zao, mkawanyang'anya ardhi zao maendeleo yatakuja lini"

“Mimi nabeba mimba najifungua wewe huwezi, Mungu amenipa heshima ya kuleta viumbe wengine duniani, unachokifanya wewe (Mwanaume) ni kunichangia tu mbegu yako, mengine yote nafanya mwenyewe, ndiyo maana makabila mengine mtoto ni wa Mama"

“Mzigo alionipa Mungu ni mkubwa na ni heshima, lazima niheshimiwe, nyote nimewaleta mimi, nimewakuza, ukiumwa ni mimi, shibe yako ni mimi, raha yako ni mimi, sasa unaponiona ni mtu wa daraja la pili sikuelewi"

“Mwanamke anaweza kufanya kama anavyofanya mwanaume, tulizaliwa sawa hata darasani si tulikuwa tunawapita, matokeo tunayoyashuhudia sasa hivi ya kidato cha nne na sita wanaoongoza ni wanawake lakini inapokuja kwenye madaraka na haki za kiuchumu wanaonekana hawafai,”
Anatumia nguvu sana ishu ya wanawake...
Mie na kwa jamii yangu mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na wao wanawake wanajua hilo sasa yeye samia aipotese muda wake...
 
Mama atulie. Swala la usawa aachane nalo. Achape kazi.

Mwanaume ni kichwa cha mwanamke. This is an eternal truth, & will never change!!!!

YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
Unajua mpaka wanawake wenzake wanamshangaa, wanaomuunga mkono ni wenzake kina mulamula ila wengi wa mtaani wanampuuza...kutwa kucha oooh wanawake tumewazaa wanaume, nyambaff, walijitomba wenyewe??
 
Rais Samia amelitaka Kanisa la Anglican kuhakikisha linawasaidia Wanawake kupata haki zao za msingi na yeye Rais atalisimamia hilo na anamuomba askofu mkuu baba Mndolwa amsaidie katika hilo.

Rais amesema Wanawake na wanaume wana haki sawa na ndio maana hata darasani wasichana na wavulana wanachuana kwa ufaulu.

Rais amesisitiza kuwa tofauti pekee iliyopo ni ya kimungu yaani uumbwaji ambapo mwanamke amepewa " Fahari" ya kubeba mimba na kuzaa mtoto kitu ambacho mwanaume hawezi

Ndio maana katika makabila mengine mtoto ni wa mama amesema

Source: Upendo tv!

===================================

“Wanawake ni zaidi ya 50% kwenye nchi hii mkituacha nyuma nchi itaendelea lini na malengo ya kimataifa yanatuambia mtu asiachwe nyuma, sasa mnapowadogosha wanawake, mkawanyima haki zao, mkawanyang'anya ardhi zao maendeleo yatakuja lini"

“Mimi nabeba mimba najifungua wewe huwezi, Mungu amenipa heshima ya kuleta viumbe wengine duniani, unachokifanya wewe (Mwanaume) ni kunichangia tu mbegu yako, mengine yote nafanya mwenyewe, ndiyo maana makabila mengine mtoto ni wa Mama"

“Mzigo alionipa Mungu ni mkubwa na ni heshima, lazima niheshimiwe, nyote nimewaleta mimi, nimewakuza, ukiumwa ni mimi, shibe yako ni mimi, raha yako ni mimi, sasa unaponiona ni mtu wa daraja la pili sikuelewi"

“Mwanamke anaweza kufanya kama anavyofanya mwanaume, tulizaliwa sawa hata darasani si tulikuwa tunawapita, matokeo tunayoyashuhudia sasa hivi ya kidato cha nne na sita wanaoongoza ni wanawake lakini inapokuja kwenye madaraka na haki za kiuchumu wanaonekana hawafai,”
Usawa upi maana hata mungu alianza kumuumba adamu.

Na waefeso wanasema hivi.

cho cha Kristo.

22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. 23Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. 24Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.

25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 26ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; 27apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. 28Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja. 32Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa. 33Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.

SASA HUYU MAMA ANAKENGEUKA KAMA MWENDAZAKE MARA YA MWISHO ALIPONGEA USHUZI MADHABAHUNI DHIDI YA MAKUHANI HAKUREJEA URAIAN SALAM MOLA ALIMCHUKUA ASIENDELEE KUCHEZEA WATU WA MUNGU.

SASA KAMA MAMA ANATAKA KWENDA KINYUME MHHH

1 Kor 11:3 SUV

Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.

SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
 
Watafanya nini bila ya mchango wa mbegu. Wao ni ubavu tu kutoka kwa mwanamume. Mwanamume ni kichwa cha nyumba/familia kama Kristo alivyo kwa Kanisa na Taifa hujengwa kuanzia kwenye familia zetu. Ajue hapo anapo hutubia ni mkutano wa kanisa na silazima sana kutaka kujilinganisha, ajiamini mbona anasongesha taifa mbele na ni mwezi wa saba mambo yanaenda. Mambo yaleyale UNGA tujisahihishe.
cho cha Kristo.

22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. 23Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. 24Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.

25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 26ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; 27apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. 28Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja. 32Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa. 33Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.

Hajajitambua huyu mama

1 Kor 11:3 SUV

Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.

SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
 
Mwanamke ataendelea kua mwanamke na Mwanaume ataendelea kua Mwanaume.Yeye mwenyewe aliwahi kukiri hapa. Kwa namna yoyote ile Mwanamke hawezi kuwa sawa na Mwanaume, labda kama alikua anatoa Stori ya kuchangamsha mkutano

:):):):)
Amezungumzia haki sawa au amesema tuko sawa?
 
Siku atakapoingia msikitini akawaambie na waslamu wenzake kuwa wanawake na wanaume wote ni sawa, waswali pamoja, waende kaburini kuzika, wavae suruali kama wanaume na wanaume wavae baibui gubigubi.
 
Nimeipenda hii badharia/theory ya kuchangia mbegu tu. Naona kwenye muuondo wa setijali kuu wizara ya ulinzi ni wizara ya kuchangia mbegu.
 
Rais Samia amelitaka Kanisa la Anglican kuhakikisha linawasaidia Wanawake kupata haki zao za msingi na yeye Rais atalisimamia hilo na anamuomba askofu mkuu baba Mndolwa amsaidie katika hilo.

Rais amesema Wanawake na wanaume wana haki sawa na ndio maana hata darasani wasichana na wavulana wanachuana kwa ufaulu.

Rais amesisitiza kuwa tofauti pekee iliyopo ni ya kimungu yaani uumbwaji ambapo mwanamke amepewa " Fahari" ya kubeba mimba na kuzaa mtoto kitu ambacho mwanaume hawezi

Ndio maana katika makabila mengine mtoto ni wa mama amesema

Source: Upendo tv!

===================================

“Wanawake ni zaidi ya 50% kwenye nchi hii mkituacha nyuma nchi itaendelea lini na malengo ya kimataifa yanatuambia mtu asiachwe nyuma, sasa mnapowadogosha wanawake, mkawanyima haki zao, mkawanyang'anya ardhi zao maendeleo yatakuja lini"

“Mimi nabeba mimba najifungua wewe huwezi, Mungu amenipa heshima ya kuleta viumbe wengine duniani, unachokifanya wewe (Mwanaume) ni kunichangia tu mbegu yako, mengine yote nafanya mwenyewe, ndiyo maana makabila mengine mtoto ni wa Mama"

“Mzigo alionipa Mungu ni mkubwa na ni heshima, lazima niheshimiwe, nyote nimewaleta mimi, nimewakuza, ukiumwa ni mimi, shibe yako ni mimi, raha yako ni mimi, sasa unaponiona ni mtu wa daraja la pili sikuelewi"

“Mwanamke anaweza kufanya kama anavyofanya mwanaume, tulizaliwa sawa hata darasani si tulikuwa tunawapita, matokeo tunayoyashuhudia sasa hivi ya kidato cha nne na sita wanaoongoza ni wanawake lakini inapokuja kwenye madaraka na haki za kiuchumu wanaonekana hawafai,”
Very unscientific president! Nchi hii tunahitaji mwansayansi, Yaani haoni hata kuku wa kijijini kwake wana tofauti? Hata riadha ipo ya wanawake na wanaume. This president, my God!

Haki za kisheria na kutambuliwa kama binadamu, hilo halina ubishi. Rais anapofikia hatua ya kutetea haki sawa kwa vigezo vya maumbile, that is fallacy! Ni kutokuwa na tabia ya kujisomea, hata kama siyo mwanasayansi.
 
Hivi huyu ni Rais wa nchi ama mwanaharakati wa kijinsia?

Kutwaa yeye na ujinsia tu! Mara jinsia yangu ya kike sijui nini! Leo tena kaibukia kanisani kuendeleza uanaharakati! Kheeeee!!!!!!!
Uanaharakati ndo elimu pekee aliyofundishwa kwenye NGO. Kumbe nchi haihitaji uanaharakati, inahitaji watendaji. Akijichanganya tu, tutaona CDF wa kwanza mwanamke wakati hajui hata mipaka ya nchi.
 
Back
Top Bottom