Rais Samia muwajibishe Waziri Mwambe kwa kusema uongo kuhusu Bandari ya Bagamoyo

Acha waumbuke,imani yake imemtuma kumtetea Kikwete ili hayati Magufuli adhalilike,haya yana mwisho
Unajitafutia magonjwa ya moyo bure kwa kulazimisha legacy hewa.

Bado mtakoma maana ndiyo kwanza awamu ya 6 ina miezi 8 tu
 
Mawaziri waongo namna hii ni wa kutilia mashaka hata wakiwa kwenye majadiliano....
Hii kitu nilikuwa sijaisikia. Kumbe jiwe la msingi lilishawekwa. Kumbe mambo yalikuwa yamefika mbali. Nini kiligeuza mambo yote hayo na sasa tunaenda kuanza upya au tunaendelea kutokea kwenye jiwe la msingi.

Kwa hiyo majadiliano yakikamilika na mkataba ukafungwa na jiwe la msingi likasimikwa? Sasa kwa nini tuanze upya badala ya kuendelea pale tulipoishia?

Kumbe JK alikuwa mkali pia na alikuwa anatumbua hadharani? Nimesikia akimtumbua Mthamini !!
 
Hii kitu nilikuwa sijaisikia. Kumbe jiwe la msingi lilishawekwa. Kumbe mambo yalikuwa yamefika mbali. Nini kiligeuza mambo yote hayo na sasa tunaenda kuanza upya au tunaendelea kutokea kwenye jiwe la msingi...
Huo mkataba uliowekewa jiwe la msingi ndio uliokataliwa na Magufuli.

Una madudu ya kutisha lazima tuanze kinafiki nafiki
 
Hapna wala si mwambe mkuuu rais wenu ndio ndio mpango wake kweli unataka kuniambia hakuna hata document yyote iliyofik MEZANI KWA JPM WAKATI HUO?
2 Je kweli jpm alikuwa mpuuuz kiasi kwamba hakuona potentiall na mradi huo?
3 je jpm alitudanganya na yy kuwa wachina walikuja na matakwa ya hovyo? Au jmp nae aliingizwa changa na watu wake?
Je mwambe awamu y 5 hakuwepo?
4 mkataba uwekwe hadharani ndio jambo la msing sana
Je kweli kwenye hili rais wenu mkuuu amejiridhisha au kikwete ndio karidhika?
Kwako mkuuu Kiturilo
Kama jiwe la msingi liliwekwa kwa nini wasiendelee hapo?

Kwa nini waziri Mwambe anaitisha majadiliano upya?
 
Jamaa, wakati fulani akiwa TIC ngazi ya uandamizi, alijipambanua kama mtu makini sana kwenye mambo ya biashara na uwekezaji. Leo nimemsikiliza akitema nyongo kutetea mradi wa Bagamoyo. Nini kimemtokea?, naona amegeuka kuwa pipa kama mapipa mengine na mifuniko yake.:oops:
 
Waziri wa uwekezaji mh Mwambe amenukuliwa akisema kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo uliowahi kusainiwa huku akisahau kuwa mwaka 2015 rais wa awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete alizindua ujenzi wa bandari hiyo.

Je, Kikwete alizindua ujenzi bila mkataba wowote?

Waziri Mwambe unamdanganya nani?

Jionee mwenyewe kwenye video hii.


Mwambe asiishie kutueleza kutokuwepo kwa mkataba. Atujulishe rasmi kwamba Magufuli alilidanganya taifa.
 
Wenyewe mabwenyeye wanasema yule alikuwa katiri, muuaji na kesi kibao ila naamini Hii nchi kuna wapiga propaganda wengi mno na tusipokuwa makini tutakuja kuandikiwa mpaka vitabu kwa wanafunzi wetu wakiaminishwa kuna Rais akiitwa Magufuli alikuwa dikteta, muuaji na asiependa taifa lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom