Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Sawa...historia hujirudia...tutafahamu zaidi 2030...mark my wordsJuzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
Tatizo hamna staha wala busara.Anayumbishwa sana tu huyu bibi. Sema umeamua kuchagua mambo yanayokufurahisha wewe tu na kuyaacha usiyoyapenda.
Nikujuze mahala alipoyumba.
Akilihutubia bunge aliahidi kukutana na vyama vya upinzani. Mpk leo hajafanya hivyo.
Chadema waliandikiwa mpaka barua inayotoa ahadi ya kukutana na chadema mpk leo ziii.
Hahaha! Aliposema atamnyoa kwa wembe uliyotumika??Tatizo hamna staha wala busara.
Lawama zote kwa Mdude chadema.
Rais Samia ni kiongozi, Rais Samia ni Mama, Rais Samia ni jabaliJuzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
Umeongea ukweli mtupu....😍Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
😍💪Rais Samia ni kiongozi, Rais Samia ni Mama, Rais Samia ni jabali
Samia ana sifa moja tu hiyo ya ujabali. Maana jabali huwa halisikii Wala haliambiliki.Rais Samia ni kiongozi, Rais Samia ni Mama, Rais Samia ni jabali
Ahadi aliyoitoa aliipa muda ?!!!Anayumbishwa sana tu huyu bibi. Sema umeamua kuchagua mambo yanayokufurahisha wewe tu na kuyaacha usiyoyapenda.
Nikujuze mahala alipoyumba.
Akilihutubia bunge aliahidi kukutana na vyama vya upinzani. Mpk leo hajafanya hivyo.
Chadema waliandikiwa mpaka barua inayotoa ahadi ya kukutana na chadema mpk leo ziii.
Kwahilo mnamuonea mama na ndiyo mjuwe kuwa hayumbishwi suala la kukutana na wapinzani lipo ila chadema wanjifanya wao ji spesho sana hawataki kukutana pamoja wanataka wakutane naye wao pekeyao na ndiyo maana kawapuuza hawana jipya kwani vyama vingine siyo vyama ila wao tu hayumbishwi na kelele zao ndiyo msingi wa huu Uzi uelewe waambie chadema wasijione kuwa wao ni spesho kuliko vyama vingine wao ji nani?Anayumbishwa sana tu huyu bibi. Sema umeamua kuchagua mambo yanayokufurahisha wewe tu na kuyaacha usiyoyapenda.
Nikujuze mahala alipoyumba.
Akilihutubia bunge aliahidi kukutana na vyama vya upinzani. Mpk leo hajafanya hivyo.
Chadema waliandikiwa mpaka barua inayotoa ahadi ya kukutana na chadema mpk leo ziii.
Kwani TOZO amepanga mh.Samia?!!Samia ana sifa moja tu hiyo ya ujabali. Maana jabali huwa halisikii Wala haliambiliki.
Sifa ya uongozi Samia Hana, sifa ya umama haidhihirishi ktk uongozi wake. Angekuwa na sifa hizi mbili angefuta tozo na angemwachia Mbowe asiye na hatia
Hakika😍Twende nyuma turudi mbele Rais Samia anastahili pongez kweli kweli. Mdomoni anasema hakujiandaa lakin kwenye matendo unaona kabisa mwenyezi Mungu alishamuandaa kuwatumikia watanzania.
CDM na wapinzani wengi walifikir Kwa kuwa ni mama basi watafanya wanachotaka na watampelekesha Sana,, hizi fikra zimewagharim pakubwa.
Mh. Samia anafanya Mambo makubwa bila kutumia nguvu nyingi wala kuwa na magenge sirini au hadharani.
Chini ya Samia watanzania tutapiga hatua kubwa maana yeye muda wa kuonea mtu wewe fanya shughuli zako halali pata mabilioni idadi yoyote hakuna atakayekughasi.
Mdude alikuwa bado anamawengw ya jela angewaharinia kabisa chadema nafikiri wamemuonya aache ujinga wake mtu mwenyewe katoka kwa huruma za huyo mama Tena anakuja kujigamba eti kashinda kesi nakumkejeli mama sasahivi unamsikia akiongea kimya na ndiyo salama ya chadema wangeendelea kuonekana kikundi Cha wahuniHahaha! Aliposema atamnyoa kwa wembe uliyotumika??
Hiyo ndiyo kuyumba kwenyewe. Mtoa mada amesema huwa hayumbishwi, Sasa mbona kayumbishwa na Mdude??
Wameishia kushangaa mama jiweHakika😍
Chadema walijiandaa kumwendesha WATAKAVYO.....
Siasa za Mdude zinashangaza sana Sana....Mdude alikuwa bado anamawengw ya jela angewaharinia kabisa chadema nafikiri wamemuonya aache ujinga wake mtu mwenyewe katoka kwa huruma za huyo mama Tena anakuja kujigamba eti kashinda kesi nakumkejeli mama sasahivi unamsikia akiongea kimya na ndiyo salama ya chadema wangeendelea kuonekana kikundi Cha wahuni
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.