Wasomi wote wa kike wanakuwaga wako simple sana ktk kujipamba, hawanaga mambo ya make ups, hawana muda huo wa kupoteza kwenye kioo.Nampendea kutokuwa na makuu. Kasuka twende kilioni kapendeza mama wa watu ,hana kujichubua wala nini
Mdogo wake Rosemary mkuu wa Dom dada kashuka mdogo kapanda familia zenye bahati zaohili lakurudiarudia watu kila siku tunalipinga, Watanzania wako wengu mno mtaani huku wenye uwezo, ni wakati wa kujaribu wengine ili tujue uwezo wao.
Kwa mafao yanayokuwa kwenye siasa ktk nchi za Afrika,kama umewahi kuwa mbunge,au nafasi yoyote ya uteuzi,hata ukiwa ni prof. ukipigwa chini ,tayari wameshakutia njaa,kwani huwezi ukapata kipato kama kile tena, kwa njia rahisi sana!!ya bila presha!!!Ndio maana huwa wanapata tabu sana,hukumbuki kuna RC,fulani hivi alipopigwa chini tena ni PhD holder alilalamika kama machinga aliyechukuliwa vyombo vyake na mgambo?kuwa ataishije na kuna ndugu wanamtegea!!!Huyu mama ni PhD holder sidhani kama ana njaa.
Ukiwa phd holder unapataje hela?Huyu mama ni PhD holder sidhani kama ana njaa.
We kama nani kwa nni usimuonye Mbowe ache unafiki CHAMA KINA MFIA MIKONONI MWAKE[emoji38][emoji38][emoji38] Huyu tulishamuonya kwamba Shetani hana rafiki lakini hakuelewa
Ni mkutubi?Acha uchawi,yupo udsm library anapanga vitabu