Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,232
- 40,734
Sema mi namkubali sana huyu Mama maana anaishi maisha yake tofauti na wamama wengi na mawigi kama kina Jenista.........Mumewe pia Prof Mukangara kama mtu kasoma UDSM na kasoma course yake ya International Relations,anafundisha wanafunzi kufaulu na kumuelewa na si kukomoanaSalaam Wakuu,
Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Bado mshamba Sana Usukaji gani huo!Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Maisha ya kutegemea teuzi,aige mfano wa Ali HapiSalaam Wakuu,
Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Acha upopoma...nimesema hajali...na sijamaanisha Ajali.Hajali au ajali?.
Mnaharibu lugha yetu.
Hivi nywele zake huwa anazikata au hazikui. Tangu namwona kwenye runinga na kwenye sherehe yupo vile vile. Na mimi nampenda alivyo ingawa sijui kisiasa yukoje.Nampendea kutokuwa na makuu. Kasuka twende kilioni kapendeza mama wa watu ,hana kujichubua wala nini
Amsaidie? Ni mgonjwa?Kwakuwa upo mtaani unataka kila mtu awe mtaani? Kila mtu ana chaguo lake. Natamani huyu Mama amsaidie Samia. Ni Msomi
Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
Wewe ya kwako ikoje?Napenda style yake ya twende kilioni, inampendeza sana
Kipara babyWewe ya kwako ikoje?
Weuzi ndio watu gani hao?Akili za CCM hizi, mnategemea teuzi tuu weuzi wakubwa nyie,..
Kwani lazimaawe mwanasiasa ndiyo aishi?Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Bila picha, nachukulia ni kama umbea wa Majaliwa tu....Kipara baby
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ugomvi wa kike hauishi leo wala kesho alisema jamaa moja
Unataka avae mawigi?Bado mshamba Sana Usukaji gani huo!