Rais Samia Msamehe Dr. Fenella Mukangara

hili lakurudiarudia watu kila siku tunalipinga, Watanzania wako wengu mno mtaani huku wenye uwezo, ni wakati wa kujaribu wengine ili tujue uwezo wao.
 
Hebu tukumbushe aliacha legacy gani alipokuwa waziri?
 
Atawasamehe Wangapi?Kuna Watanzania Mil.61 lila mmoja Anastahili kutoa Mchango wake kwa Taifa yeye katoa INATOSHA
 
Mimi naona aingie kwenye system tu. Sababu ana Siasa safi, amesoma, ana heshima na adabu ana utu pia. Hawa watu wamekomaa kisiasa ndio wa kumsaidia rais Samia.
figganigga unaonekana una akili nzuri tuu sasa acha ujinga
 
Halafu utasikia vijana mjiajiri wakati wao hata pesa ya mtaji walipata ila bado mnasema wametupwa wanatangatanga mtaani
 
Napenda style yake ya twende kilioni, inampendeza sana
 
Hii nchi bana.sasa na sisi ambao hatujulikani nani atatusamehe au ndio tule urefu wa kamba zetu.
 
Kwahiyo kutopewa ubalozi ni kuteseka mtaani? Kwahiyo Watz wenginewasio mabalozi nao wanateseka?
 
Kwahiyo kutopewa ubalozi ni kuteseka mtaani? Kwahiyo Watz wenginewasio mabalozi nao wanateseka?
Kwakuwa upo mtaani unataka kila mtu awe mtaani? Kila mtu ana chaguo lake. Natamani huyu Mama amsaidie Samia. Ni Msomi
 
Inamaana hamna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya ajira za kisiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…