figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,249
Huyu mama ni PhD holder sidhani kama ana njaa.Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Ndionabyoishia hivyo? Baada ya kutoka kidogo mnakuwa kama fisi wa wachawi wanavyranda Randa mitaani mchawi akitoweka? Sasa mnakufa kwa jambo gani kama hamuwezi kuwa financially secure baada ya kuondoka? Kwanini muumize watu kujipendekeza?Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Ugomvi wa kike hauishi leo wala kesho alisema jamaa mojaSalaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Dada wa taifa sexism tena....km mlivyomwita wa wizara ya afya Enzo za jiwe.Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Sasa huu ndo uchawa sasa kama wa mji wa Giningi🤣Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Labda hawezi kusifu na kuabidu aachwe amwabudu Mungu peke yakeHuyu mama ni PhD holder sidhani kama ana njaa.
Mama anakwepa sana wanawake wenzie hasa majembe!! Ana kijicho!!Labda hawezi kusifu na kuabidu aachwe amwabudu Mungu peke yake
Ameshajiajiri sio lazima teuziSalaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Mswahili huyo asiyejua alifanyalo.Mama anakwepa sana wanawake wenzie hasa majembe!! Ana kijicho!!
Hivi kuna watu wangapi mtaani ambao Wana sifa za kuajiriwa,halafu hawajawahi kuajiriwa?.Salaam Wakuu,
Dada wa Taifa Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
Hajali au ajali?.Mswahili huyo asiyejua alifanyalo.
Nchi inaangamia na hajali.
Kesho ni wiki ya mtihali nchi iko gizani watoto hawawezi kujiandaa kwa mitihano.
Pua pua mznzbr
Kwahiyo mimi chawa wake? 🤣🤣🤣Sasa huu ndo uchawa sasa kama wa mji wa Giningi🤣
Utakuwa kada wake!Kwahiyo mimi chawa wake? 🤣🤣🤣
Mimi naona aingie kwenye system tu. Sababu ana Siasa safi, amesoma, ana heshima na adabu ana utu pia. Hawa watu wamekomaa kisiasa ndio wa kumsaidia rais Samia.Huyu mama ni PhD holder sidhani kama ana njaa.