Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari nchini kuwa mabalozi wema katika kueneza na kuunga mkono jitihada za maridhiano ya kitaifa zinazoongozwa na Rais Samia
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 11, 2026, Chalamila...
Moja ya jambo baya kwa viongozi ni unafiki na ndo umelitafuna taifa letu kama cancer. Vyama vya upinzani tunaamini Kuna siku vitapewa nafasi ya kuongoza nchi yetu .
Hivyo tunapoona kabla ya kupewa hiyo ridhaa wanakuwa wanafiki ni ishara mbaya sana kwenye hicho chama.
Nawauliza ndugu zetu Act...
Maoni ya Dkt. Dennis Muchunguzi, Mkurugenzi Mkuu Taasisi za AFREDA na Rais wa Taasisi ya ACERICAANDO na Mtaalam wa maendeleo ya Kijamii na kiuchumi, mtaalam wa Lugha, maridhiano, upatanishi na ujenzi wa Amani
.Kwenye maridhiano kama ya kwetu haya, hatuhitaji upatanishi. Mara nyingi tumekuwa...
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Julai 26, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo amewasilisha mapendekezo makuu matano yanayopaswa kutekelezwa na Serikali:
Kuachia Huru Tundu Lissu: Alisisitiza kuwa kuachiwa kwa...
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo Julai...
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, hivi karibuni amesikika akisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ndiye anayechangia kucheleweshwa kwa kesi yake ya uhaini kwa kuwasilisha mapingamizi mara kwa mara.
Akizungumza katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV Julai 20, 2026, Wasira pia...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa."
Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA...
Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dkt. Benson Alfred Bana amesema ili kupatikana kwa maridhiano ya kweli moja ya mambo yanayopaswa kuzingatiwa ni kuwepo kwa dhamira ya kweli huku mpatanishi akiwa katikati ya pande mbili zilizokosana.
Amesema hayo akizungumza kwenye mahojiano na...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au...
Naibu Mkurugenzi wa Siasa na Matukio wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ali Makame Issa amebainisha kuwa kuingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni maamuzi ya kikatiba ya Wazanzibari wenyewe, na si jambo linalopaswa kuamuliwa nje ya misingi hiyo ya kisheria.
Chama hicho kimeeleza...
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.
Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026...
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa.
"Na nchi...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.
Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na...
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.
Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
Wakuu,
Natafakari tu.
Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano.
Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi.
Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.