maridhiano ccm na act

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania ACT mlishaunga mkono maridhiano na CCM Zanzibar, sasa kwa nini mnataka kuwa wanafiki? Au CCM ya Zanzibar ni tofauti na CCM ya Bara?

    Moja ya jambo baya kwa viongozi ni unafiki na ndo umelitafuna taifa letu kama cancer. Vyama vya upinzani tunaamini Kuna siku vitapewa nafasi ya kuongoza nchi yetu . Hivyo tunapoona kabla ya kupewa hiyo ridhaa wanakuwa wanafiki ni ishara mbaya sana kwenye hicho chama. Nawauliza ndugu zetu Act...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makame: Tamko la CCM na ACT halipo Kikatiba, Wazanzibari walitaka Serikali ya Umoja wa Kitaifa

    Naibu Mkurugenzi wa Siasa na Matukio wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ali Makame Issa amebainisha kuwa kuingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni maamuzi ya kikatiba ya Wazanzibari wenyewe, na si jambo linalopaswa kuamuliwa nje ya misingi hiyo ya kisheria. Chama hicho kimeeleza...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

    Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha. Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026...
Back
Top Bottom